Recent content by phenias

  1. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujitoa mhanga kwa sababu ya mapenzi?

    Duhhh,,,,pole sana!!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujitoa mhanga kwa sababu ya mapenzi?

    wezi a.k.a waizi sana. "My nikwambie kitu?" teh, teh, teh, hapo kimbia.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujitoa mhanga kwa sababu ya mapenzi?

    Tena ile anasema my nirushie elf20,, usirushe ukisharusha hata meseji zako hajibu tena. sanasana uwe umeshagegeda.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujitoa mhanga kwa sababu ya mapenzi?

    Sema akakupotezea,,,, wanakuwaga wajanja kukuchomoa mkwanja, anajifanya amelainika, anakupiga mzinga ukimpa tu unakuwa umeliwa.
  5. P

    JamiiForums Tanzania "Baby nikwambie kitu?"; mwanaume mwenzangu usijibu message hiyo ukitumiwa tarehe hiz za sikukuu

    Hao ni wavulana, wanaume hawakimbii majukumu.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nina urembo wa meno ya tembo, kuvaa inaruhusiwa?

    Jamani receipt atakuwa nayo? alinunuliwa akiwa mdogo! sijui anaumri gan kwasasa ila kutunza stakabadhi ya ulichomnunulia mtoto ngumu sana. Bora hata hujasema receipt ya EFD maana hazikuwepo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nina urembo wa meno ya tembo, kuvaa inaruhusiwa?

    Tangu ukiwa mdogo si vimeshakubana hivyo?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Bugando Hospital

    Usiogope njoo mgonjwa wako atatibiwa, usisikilize maneno ya watu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Bugando Hospital

    File ni 22000/- kwamaana ya kulipia kadi ya CRDB.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Hapo ipo kazi,, umri ukisogea na mkazoeana itakuwa balaa zaidi.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Nilikuwa nakunywa bia 2 nalewa sana hata kesho kazini nakuwa mgonjwa nikaamua kuacha tu, miaka kama kumi iliyopita.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Maelezo kuhusu gharama za huduma "service charge " za Tanesco

    Siyo kweli, situmii zaidi ya unit75 kwa mwezi lakini service charge nalipa, na ni zaidi ya 5520. Waongo hao.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nampenda sana ila ana wivu hatari

    Duuh,, huyo ni balaa, atakusumbua huyo aisee!! Simu tu hasira siku tatu!!!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Usafiri enzi zile Mwanza yetu

    KAJOI BUS- MZA - MOSHI -1990
  15. P

    JamiiForums Tanzania Usafiri enzi zile Mwanza yetu

    Monica Lewinsky, Princess Diana nazo vipi?
Back
Top Bottom