Recent content by pgasper

  1. pgasper

    JamiiForums Tanzania Laws of Conservation of Energy

  2. pgasper

    JamiiForums Tanzania Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Samahani mkuu, Usiudhi wafadhili wa chama.
  3. pgasper

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

    Atuletee Azam BEER
  4. pgasper

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

    kwa mia lazima utaokota 20+, zatosha
  5. pgasper

    JamiiForums Tanzania Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    na safari pia ni mchaga, na baregu na marando, na watanzania wooooote ni wachaga. Hujaelewa tafsiri yake ya "wachaga".
  6. pgasper

    JamiiForums Tanzania Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    Hilo la kauli kuitolea bungeni.. sijui kinga ya woteva.. watajibu mahakamani. Cha muhimu Pinda kafikishwa mahakamani kwa kauli zake za kikatili, kiuaji... hata mahakama ikitupia hilo shitaka., rekodi haitatupwa.
  7. pgasper

    JamiiForums Tanzania Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    na macho mekundu
  8. pgasper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    The last time I checked it was July 30th, and we have a free agent Sanogo in the bootroom.
  9. pgasper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu kashengo, tunajua mwisho wa msimu huu Arsenal ilikuwa stable. Ukweli kuwa bado tunahitaji reinforcement. Hata wachezaji wenyewe wanataka Wenger asajili. Tunahitaji clinical finisher, na reinforcement pia kwenye midfield... Usajili licha ya kuleta talent mpya, inainua morali ya wachezaji...
  10. pgasper

    JamiiForums Tanzania Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    Pathetic Pinda, Kauli zake na matendo yake hayana tofauti na mchawi
  11. pgasper

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma sasa kupitishiwa CRDB badala ya NMB sababu ni nini hasa?

    Wala hiyo si professional yake huyu meningitis. Chunguza ID yake vizuri na avatar pia utajua kazi yake.
  12. pgasper

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kitanzania aliyefariki siku 3 zilizopiata mjini istanbul turkey

    Poleni na msiba wafiwa wote na Mungu aiweke roho ya marehem mahali pema peponi
  13. pgasper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania cameraphone bora zaidi duniani

    asante kwa somo tufanye informed choice ya simu sasa thanx to chief-mkwawa
  14. pgasper

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    So you think. Kwamba watakuwa mwewe daima....! Tuwaombee maisha marefu na wewe inclusive.... Tuje tuone kama huyo mwewe atakuwa akibeba tu vifaranga miaka nenda rudi. Ungejuiliza pia kuwa baadhi ya mwewe wenzake bado wana mbawa za kupaa daily na kuenjoy vifarang?
Back
Top Bottom