Recent content by pevu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi Kenya

    Wamerusha kupeleka nje,,
  2. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi Kenya

    Hapana,, namahind sio hela mkuu,, Kwan vip
  3. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi Kenya

    Kikubwa beiyako kwa kilo.nipo njombe
  4. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi Kenya

    Nataka kufanya biashara ya mahind na nch jirani,,, Kenya,, ,,, wakunipa mwelekeo naombeni msaada au wakuniunganisha na wafanyabiashara kutoka Kenya,,,
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Henry Kilewo kwenda kwa Joseph Mbilinyi(Sugu)

    Yanatoka wapi hayo,,, wewe ndio mwenye nyumba,,
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na jamaa zako mnajifunza nini kutoka kwa Akon?

    Daaha ukada kaz kweli,,,, akili zinageuka Kuwa matope,,,
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo jitihada za Rais Magufuli katika kilimo, yanavyoakisi mageuzi ya CCM mpya na ujenzi wa Tanzania mpya

    Kutokana na kuinia kilimo,, Kwa upande Wa masoko ni tatizo kubwa,,, wakulima wa mahind wamekosa soko la mahindi,, wazir wa kilimo yupo,,, wala haonyeshi ushirikiano wa kutafuta masoko,,,,, hali ni ngum Kw wakulima nenda ludewa, njombe, ruvuma, mpanda wakulima Wana mahindi ya kutosha ila soko...
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyoishi miaka mitatu kwa hofu nikijua nina HIV

    Jaman sijuwi Kuna siri Gan ktk gonjwa hili tuamin mung yupo na anaponya,,, mwenyewe hapa siwez simulia mana mmesha maliza hiz Kash Kash,,, tusipende kumnyishea mtu kidole hususan wanaume hatuathiriki kirahis,,, tuzid kumwomba mungu,,
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Serikali imejikita kwenye mazao ya biashara,, Kwa kuwatafutia masoko,,, ila wakulima wa mazao ya chakula watafute masoko wenyewe,, wakati baazi ya mikoa zao la mahind ni kama zao la biashara,, wazir wa kilimo ni mzigo kashindwa hata kutafuta masoko ya mahindi
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara ya 6,600/= ni dharau kwa wafanyakazi

    Wewe utakuwa unavyeti feki,,,,, hujajuwa nin umekiandika
  11. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Raisi wawatanzania..tunaomba ufike mikoa ya kusin,, mbeya, njombe,, ruvuma. Tupo kaa yatima walio sahaurika ktk ardhi yenye rutba, na madini yasiyo chimbwa, pia uje usikie shida na kero za wananch wako. kaa kulima tunalima Sana Lakin tumekosa masoko ya mahind, viaz, mbao. mkuu wetu tuna amin...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

    Haya,, maandish yatakuwa ya Jeri muro,,, ndio uwezo wake wa kufikir
  13. P

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Zitto Kabwe ana tatizo zito kichwani

    Huyu,, Jerry muro,, kiaz kweli nilijuwa naye atajibu kwa data,, na si mipasho ya taarabu,, kweli huyu ni mwanaume wa dar,, Zito si sahiz yako,,,, hapo ni uchonganish wa familia ya Zito,, uchumi Mara ndoa,,, jibu kwa hoja huu sio mpira
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nilipigwa na kudhurika kiafya nikiwa kazini kwangu Mkolani Sekondari

    Huyu, naye atakuwa mhusika,,, amekujuaje
  15. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Mungu anawaona ipo siku,, wata jutia kauli zao za kipuuzi,, umri unausiana nini na kuongezwa kwa mshahara
Back
Top Bottom