Akon anaishi marekani na maisha yake kayatengenezea huko, inawezekana hayuko familiar na siasa za bara la afrika, angekuwepo kwao wakati akina fodey sankoh na charles taylor wanaua waafrika wenzao makusudi,angekuwepo akashuhudia yaliyotokea afrika ya kati au angejua historia ya Patrice Lumumba au angejua yanayotokea kwa viongozi wa afrika kujibadilishia katiba ili waendelee kutawala asingesema hayo. naamini anayoyaogelea akon ni mambo madogomadogo mno kama vile ujambazi, magonjwa, ufisadi n.k. haongelei uhuru na demokrasia ya kweli wa watu wa afrika
Tundu Lisu na jamaa zako wenye mtazamo mfinyu juu ya nchi zetu na Africa yetu hata kufikia kuitangaza kwa mambo ya uzushi na ubaya ktk jumuia za kimataifa jifunzeni vitu kutoka kwa mwanamuziki huyu..
Ambaye kwa ukweli anaongea kwa hekima kuliko ninyi nyotel. Badala ya kutafuta kila nafasi unayopata kuipaka matope Tanzania na Africa yetu, angalieni mazuri na muyatangaze hayo!
Hao wazungu wanayo ya kwao lakini wanayaficha badala yake yanatangaza mazuri tu..
Kweli kabisa
..TL ameilaumu na kuishutumu serekali.
..hakuna mahali amewalaumu nchi.
..na TL ana hoja za msingi za kuilaumu serekali kutokana na shambulizi la kigaidi dhidi yake.
Naomba wapenzi wa huyu mwanasiasa mnivumilie kwa hili.
Kuwa mpinzani sio kupinga kila kitu. Wakati wa utawala wa awamu ya nne wapinzani na wananchi wengi tulilalamika kuhusu utawala mbovu. Tukajizatiti kutafuta MABADILIKO
Sasa tunaona MABADILIKO hamtaki hata kupongeza na mnaona ni dhambi kubwa kumpongeza Mheshimiwa Yohana.
Badilika, ungana na watanzania kuleta maendeleo na sio kuichafua nchi yetu kwa mabepari wanaotutukana, kutubagua na kutudharau
Kwa niliowaudhi mnisamehe. Ni hayo tu.
Tundu Lisu ni less intelligent man hivyo muache jinsi alivyo Dunia itamfundisha kwamba Muzungu hajawahi kumjali Mwafrika hata siku moja, maisha yatamfundisha kwani maisha yatamuadhibu na kumtupa chini tena na tena na tena na tena mpaka aje kutambua kwamba anashindana na Goliath na yeye ndiyo anatakiwa kubadilika na siyo Dunia, Dunia iko jinsi ilivyo na huwezi kuibadilisha!
Unahitaji msaada juu ya tafsiri yako ya "Serikali" na "Nchi"
Angekuwa na hoja na vile yeye mnamuita mwanasheria Nguli angefukua kesi.
Kitendo cha kuhangaika kwenye media za kibepari kuongea uongo juu ya nchi ni uhaini unaofaa azikwe hai.
Vinginevyo anakuwa kibaraka kama vibaraka wengine tu.
Mkuu inaelekea hufahamu uhusiano wa Mobutu na Franco kwa undani na mazingira Franco aliyofanyia kazi. Ni kweli kuna nyimbo za kutosha wamemsifu Marshal Mobutu lakini uko ushahidi pia wa nyimbo "zidi" ya vitendo vya dictator huyo.Hata hapa kwetu africa kuna watu wanaonufaika direct or indirect na mauaji au ukandamizaji unaofanywa na serikali zao!hawa lazima watakuwa mstari wa mbele kuonyesha dunia kuwa every thing is okey!! Kwenye harakati za kumwondoa dikteta mobutu sese seko huko zaire(congo) kulikuwa na akina Franco(lwambo lwanzo makiadi)ambao walikuwa kwenye payroll ya mobutu kwa kazi ya kuusifia utawala wake! Leo tanzania ina kambi za kisiasa kwenye kila nyanja,hivi ulitegemea kumsikia diamond akiilaumu serikali kwa shambulio la Lissu?
Wewe lazima utakuwa mtoto wa Magufuli. Hakuna matatizo Tanzania?africa kuna nchi chache hazina matatizo,tanzania ikiwemo,
Daaha ukada kaz kweli,,,, akili zinageuka Kuwa matope,,,Tundu Lisu ni less intelligent man hivyo muache jinsi alivyo Dunia itamfundisha kwamba Muzungu hajawahi kumjali Mwafrika hata siku moja, maisha yatamfundisha kwani maisha yatamuadhibu na kumtupa chini tena na tena na tena na tena mpaka aje kutambua kwamba anashindana na Goliath na yeye ndiyo anatakiwa kubadilika na siyo Dunia, Dunia iko jinsi ilivyo na huwezi kuibadilisha!
ajabuWewe lazima utakuwa mtoto wa Magufuli. Hakuna matatizo Tanzania?
Unataka ushahidi gani tena...yeye TL kama 'mwanasheria nguli' angepaswa aende mahakamani na kufungua kesi huku akileta ushahidi kuwa waliomshambulia ni serikali...vingenevyo ni utoto na upuuzi! Sasa kukimbilia kwa 'slave masters' ni ugonjwa mbaya sana wa akili!..kuna tofauti kati ya "serekali" na "nchi."
..TL amelaumu waliopiga risasi ni kikundi kilichoko ndani ya serekali na vyombo vyake.
..sasa kama wewe unampinga lete ushahidi wako na sisi tutaupima tukilinganisha na madai ya TL.
NB.
..mwanamuziki eminem aliwahi kusema, " i'm all for america...f*uck the government..."
Unataka ushahidi gani tena...yeye TL kama 'mwanasheria nguli' angepaswa aende mahakamani na kufungua kesi huku akileta ushahidi kuwa waliomshambulia ni serikali...vingenevyo ni utoto na upuuzi! Sasa kukimbilia kwa 'slave masters' ni ugonjwa mbaya sana wa akili!
..kuna tofauti kati ya "serekali" na "nchi."
..TL amelaumu waliopiga risasi ni kikundi kilichoko ndani ya serekali na vyombo vyake.
..sasa kama wewe unampinga lete ushahidi wako na sisi tutaupima tukilinganisha na madai ya TL.
NB.
..mwanamuziki eminem aliwahi kusema, " i'm all for america...f*uck the government..."
Mwambie huyo Lisu alete ushahidi kwanza wa hao mnaowaita kikundi kilichopo ndani ya serikali
Na mwanamuziki Akon amesema "National matter are like Family matter, They shouldn't be brought outside"