Recent content by petrocaptain

  1. P

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Nmefurah alivyosema WiFi MI naenda mungu akubark mama samia
  2. P

    JamiiForums Tanzania Leonidas Gama azikwa kijijini kwao Likuyu Fusi

    Ile sku ya lisu mlishindw kuleta ndege HD chdma wakakod Leo mnasem et mlitaka kukod ndge aende muhimbil kumbe kufa tutakufa wote onen aibu c c m
  3. P

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    Mnatumia nguvu nyng katk chaguz ndogo kias hk ukweli utabk palepale ccm mnatapatapa na kubebw na polccm
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Shukurun jesh LA polis huu uchaguz ulikuw ni kat ya chdma na polisccm
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Shukurun jesh LA polis huu uchaguz ulikuw ni kat ya chdma na polisccm
  6. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Mnajipongez kwa kubaka demokrasia hamna aibu punda wa kijan
  7. P

    JamiiForums Tanzania Walimu hivi ni lini mtajua kujisimamia na kudai haki zenu?

    Mkuu pesa nyngne tunajenga hospital ya rufaa
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa kiume, tuweni wa wazi kwa mabinti

    Mkuu huu uzi kwa kweli umezungumza ukweli mtu ahsnt sana
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watu tunapenda sifa lakini hii sifa sio ya kwangu

    Ndo maana kawek increment 5000 hakuna alichokifny kila kitu ni mwendlezo WA jk
  10. P

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere angepata urais 2015 ingekuwaje?

    Broo paschal mm naomba nikuulize swal hv nchi yetu ya Tanzania n nchi inayoongozw kwa sheria jpo znakanyagwakanyagw kwnii mtu hyu aliyesomea chet cha mtu asiwajibishwe? Wakat wpo ndugu zetu waliwajibishw na wengn walikos kaz na kufungw je huon kama hpo Kuna double standard
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Naona mlet uzi anamiaka 19 ndo maana anachagua subir umri ukupge teke
  12. P

    JamiiForums Tanzania Watakaokutwa wanasafirisha mirungi au bangi zaidi ya kilo 50kuhukumiwa jela maisha

    Hiz sheria wangezptsh kwa mafisad wanaoiba mabilion wakafungw maisha ingependeza zaidi
  13. P

    JamiiForums Tanzania Shule mkoani Kilimanjaro zakosa wanafunzi, huku mikoa mingine ikikabiliwa na ukosefu wa madarasa, tatizo ni nini?

    Mosh hakuna uhaba WA wanafunz Ila ukweli n kwamba wazaz wanapelek watoto wao shule binafs nenda mosh mjn utakut shule nyng za binafs zmejaz watoto toka mwika rombo uchira marangu hyo na weza kusema kilimanjaro kunamwamkk mkubw WA elimu na wazaz hawajarizk na elimu bure
  14. P

    JamiiForums Tanzania Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

    Wanafk hata kwa bwana yesu walikuwepo na walikula mikate
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

    Huu uzi wako umeuandika kwa stress sana njia pekee yakupunguza stress nenda kwa wataalamu kachek afya mkuu huku kujipima huna utaalamu na hcho kpimo
Back
Top Bottom