Recent content by Petro Proshenko

  1. Petro Proshenko

    Usahihi wa Uwakili wa Profesa Kabudi na muktadha wa alichokizungumza Bungeni

    Petro bahati mbaya majina yetu ya mwanzo yanafanana japo wewe ni mswahili lakini mimi ni mrusi.Nimekusoma na nime kuelewa vizuri sana .Sikubahatika kufundishwa na Prof.Kabudi ila nilifundishwa na waliomfundisha yeye.Tena si wanasheria basi hivyo hiyo na mimi si...
  2. Petro Proshenko

    Namtafuta baba yangu mzazi mzee Jovin Machumu

    Wewe achana na matambiko rudi kwa Yesu Kristo kwake ni mwanzo na Mwisho,Achana na maisha ya kumtegemea mwanadamu mwenzako hataweza kukusaidia kitu ungali mtu mzima tena kama hakujali wala kuweza kukusaidia ungali mtoto mchanga.Tena yatosha tu kusema alikuacha...
  3. Petro Proshenko

    Kama una uwezo huu usikimbilie Majuu!

    Sawa kabisa mwenye nacho anatamani kuwa nacho zaidi Ole wake asiye nacho, maana hata kile kidogo akiwaziacho kinaporwa na waliomtangulia kuwa nacho.Naafiki kabisa maisha ni mzunguko lakini kuna mahali ukifikia kila kitu kikasimama basi hata wazo la kwenda...
  4. Petro Proshenko

    Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Hili si swala la CHADEMA wala CCM,Watanzania tujaribu kujiongeza kufikiri kidogo mbali tafadhali.Haya matukio yanayotokea ni dhahiri ndo muonekaniko wa nchi yetu na uongozi wetu tulionao unavyotafsiriwa na mataifa mengine.Niliwahi kuambiwa watanzania sisi ni waoga na...
  5. Petro Proshenko

    Pump za aina hii zinapatikana wapi kwa hapa kwetu Tanzania?

    Wakuu Wizara ya Maji na umwagiliaji ina sera ambazo zinazuia uwezomkubwa wa vinyonya maji i.e pumps wa kutoa maji kwenye vyanzo lets say mito maziwa au mabwawa yanayotumia na public.Sina uhakika kama ipo kwenye sheria.Lakini Kijijini kwangu kule Mahenge...
  6. Petro Proshenko

    DODOMA: Katibu wa CCM, Bashiru Ally kumuita Waziri anayemiliki ekari 1000 za mashamba kueleza alizipataje

    Bashiru wewe Bwana mdogo tu njoo taratibu.Unashangaa ekari 1,000 tu mbona wapo wanaomiliki migodi na Ekari 10,0000 kwani walizipataje kama siyo juhudi zao wenyewe,Usijilinganishe uwezo wako mdogo wa kumiliki ardhi na mali kwamba ni vigezo vya ufisadi.Watu wana...
  7. Petro Proshenko

    Hawa ndiyo mawaziri 10 wa Magufuli wachapakazi

    PCM vs DAB Kolomije One Je ?
  8. Petro Proshenko

    Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

    Je na ile ya Ezwilini -=-" Why Not If not"
  9. Petro Proshenko

    Askofu Shoo, KKKT ina mapungufu mengi irekebishe kwanza kabla ya kukimbilia siasa

    Nitalisemea kanisa kwa maana ya kiroho zaidi kuliko haya ya ulimwengu upitao.KKKT lipo mahali pa kukumbatia taratibu zaidi ya mafundisho ya kidunia zaidi kuliko ya kiroho.Ni kweli kanisa linahitaji Miradi mbali mbali kulisaidia kuendesha shughuli za maisha ya...
  10. Petro Proshenko

    Msaada: Natokwa na harufu mbaya sana sehemu za siri

    Wewe macho siyo kilka mwenye msaada ni tapeli,Be your age .Stupid !
  11. Petro Proshenko

    Msaada: Natokwa na harufu mbaya sana sehemu za siri

    Wewe jamaa tutafutane kama kweli unahitaji msaada kwa dhati tuwasiliane inbox.Tatizo lako litaisha tena mara moja na yamkini usitumie gharama yoyote kwa maana ya pesa.Jitahidi sana uni in box maana namba yangu nikiiweka hapa hadharani matapeli hawakawi...
  12. Petro Proshenko

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Kijana wala usiwe na hofu hutakufa kwa agizo la mwanadamu,Mwanadamu hana uwezo huo kukatisha mpango wa Mungu.Nataka kujua uko wapi nikupe msaada na uishi umri wako kama Mungu alivyokuahidi nitafute kwa Whatsup No.0623507595 Naahidi kukupatia msaada wa kukuondolea...
  13. Petro Proshenko

    Marubani wakitanzania ambao ni wataalam ni kama ifuatavyo

    Mwasifia ma captain tu hamkumbuki kwamba wenzenu huku Namtumbo hadi leo zipo shule za msingi hazina madarasa .waalimu.madawati .vitabu vya kiada unadhani hao wabobezi tutawapata wapi ili hali wale wanaokalia madawati na kusoma shule zilizokamilika wanakimbilia nje...
  14. Petro Proshenko

    Mkoa gani unafaa kwa kilimo 100%

    Karibu Ruvuma Uzuri wake kila kitu kinastawi hapa.Ila uje na vibarua wako wenyeji ni wavivu mno!
  15. Petro Proshenko

    Mkoa wa Ruvuma ni mkoa unaopakana na nchi ya Msumbiji na Malawi

    Nimeandika uzi huu niko Mateka Songea kabisa,Hivyo siongei vitu hewa.Kilimo wanachozungumzia ni kile cha kujikimu tuu,Kahawa kama siyo hilo shamba la Mwiisrael AVIV kuna wapi kwingine?Unaposema nyumba zote ni za mabati ushaenda Namtumbo wewe,Nyasa je ?Ni tabia yao...
Back
Top Bottom