Recent content by PETRO E

  1. P

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Kwa hiyo Karume alimpindua Okello na siyo Serikali dhalimu ya kikoloni?
  2. P

    Dr. Mathayo David Mathayo: Serikali ni Nani?

    Nimekusoma JFSMA, ni ukweli usiopingika, Dkt. David hakujua anachojitetea. Japo hakuwa waziri wa ardhi, bado alikuwa na uwezo wa kutatua japo migogoro ya wafugaji na wakulima ambayo imepelekea mifugo wengi kuuawa na uhai wa wafugaji ama wakulima kupotea. kuzungumza na waziri wa ardhi kwa maana...
  3. P

    CCM ni lazima kujitenga na kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza

    mtajificha kwenye shina la njugumawe? Hii ndiyo tabia ya sisiem. ubabe na kuua wanyonge mwapokonye haki zao.
  4. P

    Nani karuhusu uuzaji wa "seat" magari ya mbagara&gongo la mboto vituo vya ubungo na mwenge?

    Kombo, hujapata adha ya usafiri kwa maeneo tajwa. swala hili waathirika wakubwa ni wanawake, fikiria hawezi kugombea gari wakati wa kuingia na isitoshe ana mtoto, halafu anasikia tangazo,"mwenye mia tano kuna seat", halafu safari ni ndefu hawezi kusima, ukizingatia msongamano wa magari...
  5. P

    Nani karuhusu uuzaji wa "seat" magari ya mbagara&gongo la mboto vituo vya ubungo na mwenge?

    Kweli ndg, ushirikiano wetu abiria unaweza kutukomboa, maana sioni kama kuna anayetujali
  6. P

    Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    kusoma ushindwe, hata picha usielewe?!:A S-confused1:
  7. P

    Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    Nimeangalia picha mng'ato na hiyo ngonjera mbona hata sijamuona lowassa unayemtukana? Nafikiri tumuongelee anayeonekana (Ole Medee) ili kama kina kivuli kisichoonekana (Hidden shadow) akaeleze mwenyewe:A S-confused1:
  8. P

    Nani karuhusu uuzaji wa "seat" magari ya mbagara&gongo la mboto vituo vya ubungo na mwenge?

    Ndugu wanajamii Forum, naomba mwenye ufahamu wajambo hili atusaidie kujua jibu la swali tajwa hapo ili tujue mwenye biasharahii. Kwa waliobahatika kusafiri kuelekea mbagara au gongola mboto wakitumia vituo vya mwenge lakini hasa Ubungo Tanesco watakuwawamekumbana na adha hii ambapo kuna kundi...
  9. P

    Maelezo ya Wizara ya Elimu kuhusu mchakato wa kurekebisha matokeo ya Kidato cha 4

    haijalishi jamaa kaongea kiingereza gani ilimradi umekielewa ukweli unabaki palepale. Haiwezekani kulazimisha kuwahadaa watu kuwa kuna maendeleo ya kitaaluma kwenye hakuna. baraza la mitihani lina watu makini na wenye upeo mkubwa sana chini ya usimamizi thabiti wa Dr. ndalichako. hawa wanasiasa...
  10. P

    Wilson Kabwe ang'oka Mwanza, ahamishiwa Dar

    kweli ndugu, tukiona hawa ni viraza, tuombeni katiba iwe imewapa nguvu wananchi ya kuwapigia kura wakurugenzi, lkn kama si hivyo, tunaowaita vilaza watatuteulia sana
  11. P

    Wilson Kabwe ang'oka Mwanza, ahamishiwa Dar

    waziri, akifanya uteuzi ni kwa niaba ya Rais
Back
Top Bottom