Dr. Mathayo David Mathayo: Serikali ni Nani?

Tukiacha ile definition ya watu walioshindwa kufikiri ambao wanasema kwamba SERIKALI ni mimi, wewe na yule yaani eti wananchi wote ni SERIKALI (SIC!)

....

Hii definition anaipenda sana Mzee Wasira!
 
Binafsi nimesononeshwa na maelezo ya aliyekuwa waziri wa Mifugo David Matthayo ya kuwa ameonewa kutakiwa kujiuzulu. Ni kweli David Mathayo hahusiki moja kwa moja na makosa ya opareshini tokomeza kwasababu angefanya nini kilichotokea kisitokee kwa bajeti ndogo aliyotengewa.

Lakini, Mathayo asilaumu hata kidogo kwakuwa hata yeye hakuwa na mpango kazi unaolingana na bajeti aliyotengewa. Angekuwa mimi ningeleta effect japo kwenye mkoa mmoja tu kwa kutumia hela ndogo aliyokuwa nayo kwenye wizara. Randomly angechagua kanda, mkoa, wilaya au hata kata ambayo angefanya kitu kinachohitajika kwa ufugaji wa kisasa kabisa, ili watu waone na kuilaumu hazina kwa kumtengea hela isiyotosha kuihudumia nchi nzima kama alivyofanya kwenye kanda, mkoa, wilaya au kata ile. Badala yake vilio vya wafugaji vimetawanyika nchi nzima huku Mathayo akidai kapewa hela kidogo, huu ni udhaifu katika planing. Katika mifugo hakuna kanda, mkoa, wilaya wala kata isiyokuwa na malalamiko. Ona Magufuli alivyoona hakupewa hela ya kutosha wakati alipokuwa Wizara na Mifungo na Uvuvi aliamua kuleta effect kwenye uvuvi kwa kukamata wavuvi haramu kwa nguvu zake zote hadi akakamata hadi wachina waliokuwa wanavua isivyo halali (samaki wa magufuli, Je, ranchi, marambo, majosho, masoko, maduka ya nyama ya kisasa, ngozi za wanyama safi za David Mathayo ziko wapi?). Hili ni tatizo kwenye wizara nyingi nchini, Kama unapewa hela kidogo isiyokidhi mahitaji ya nchi nzima, bila upendeleo na kwa njia za wazi zinazowashirikisha wadau mbalimbali amua kuchagua eneo dogo la kufanyia kazi kwa mzuunguuko ili upate matokeo makubwa, ili ukipata hela nyingine uhamie eneo lingine la kazi. Hata huko Marekani majimbo yote hayalingani kwa maendeleo ya kitu kimoja. Kunatakiwa kuwe na coordination ya wizara zote, mfano, kama mkoa mmoja utaendelezwa kwenye shule, mwingine unaendelezwa kwenye mifugo, kama mkoa mmoja umeendelezwa kwenye huduma ya maji mwingine unaendelezwa kwenye huduma ya umeme, kilimo, mawasiliano, n.k hadi mzuunguko wa utoaji huduma unaenea kwa mikoa yote. Hata kwenye familia ukiwa na hela kidogo lazima uchague eneo la kuhudumia na kuleta effect, watoto wamekosa nguo za sikukuu lakini wamekula pilau na nyama ya kuku na soda hadi wakasaza hawatanung'unika sana kuliko ukawanunulia watoto mmoja malapa, mwingine shati tu, mwingine, kaptula tu bila shati na wa mwisho hijabu tu.
 
Nimekusoma JFSMA, ni ukweli usiopingika, Dkt. David hakujua anachojitetea. Japo hakuwa waziri wa ardhi, bado alikuwa na uwezo wa kutatua japo migogoro ya wafugaji na wakulima ambayo imepelekea mifugo wengi kuuawa na uhai wa wafugaji ama wakulima kupotea. kuzungumza na waziri wa ardhi kwa maana ya kupanga namna ya kuepusha migogoro hiyo kwa kutenga maeneo mahsusi ya wafugaji, hakuhitaji kutengewa bajeti. Ukiwa na mipango mahsusi, inawezekana kupata uwezeshwaji wa namna nyingi zaidi ya kukaa ofisini kusubiri mugao wa hadhina ambao mara zote unachelewa sana.
 
wapo kwa ajili ya kutawala na si kuongoza. ingelikuwa ni kwa ajili ya kuongoza, mapema kabisa baada ya kuona bajeti alopangiwa haikidhi mahitaji angejiuzuru mapema.wapo kiutukufu zaidi!!
 
Kimsingi alitakiwa ajiuzulu mara baada ya Serikali (Sijui kama yeye sio sehemu yake) kumpatia fungu dogo ambalo angeshindwa kutekeleza majukumu yake.
Pia natatizika sana ku relate fungu dogo alilopewa na Unyama uliofanywa kwenye hiyo operation ambayo kimsingi ndo imemchomoa madarakani.
My take.
Huyu jamaa ni Kilaza Period when it come to Politics..
Its not true that kila msomi anaweza kuwa a Good Politician...

That is good kaka . unakunyaga bia gani?
 
Back
Top Bottom