Recent content by petra

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

    Nakubaliana na wewe 100%,Sio kila uwekezaji unaotoka kokote ni uwekezaji wa faida au wakibiashara mwingine ni uhujumu uchumi na hasa ukitokea kwa Economic Power House kama Kenya.Economic Dominance haiji hivi hivi,Bali hats kwa hila,ghiriba uhujumu,ujanja,ulaghai,wizi uongo,nk,nk.Kama nchi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kuna vipindi ktk Biblia kuna namna ya kuabudu Mungu ktk vipindi hivyo.Wakati Wa Abraham,wakati wa utumwa,waliporudi, nk,nk.Watu ambayo kwa namna yoyote hawakufikiwa na Injili ya Bwana Yesu,watahukumiwa kwa Dhamiri zao.Dhamiri inahukumu ukiwa sensitive spiritually.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kubadili kabila?

    Good
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Kama humjui Leo,IPO Siku ambayo inakuja utatamani muda urudi nyuma ili umtambue,tunamjua Yesu kwa injili ibayopita humu jf,biblia,mikutano yahadhara,makanisani,hata njiani wapo wainjilisti wa mitaani.Kumbuka baada ya kifo HUKUMU.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachofanywa na Vijana wa Jambo na Vijambo, kinadhihirisha Ustaarabu wa Wakristo Nchini

    Kufuatana na Daniel 1:1-4 kuna mungu wengi,mmoja alikua ktk nyumba iliyokua Jerusalem na mwingine kule vyombo vlikopelekwa.Unions mungu anatetewa na binadamu/mtu ujue mungu hiyo ni mdogo, hana uwezo kuliko hao wanao tokwa na povu,mishipa kumtetea,bila ya wao hajiwezi.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la Mungu kuhusu zaka ni nini? Niko kanisani naambiwa nitoe kwenye mshahara 'net'

    Kasome mwenyewe Malaki 3:10,Leteni zaka KAMILI GHALANI.Maneno haya mawili ni muhimu na baada ya hapo Mungu anajifunga kwa ahadi kulinda ile 90% inayobaki ukiisha timiza upande wako.Define ghala,na kamili.Sio swala wazee kuamua ni muumini kukubali kutopunguza kama Ufunuo 22:18
  7. P

    JamiiForums Tanzania KISA CHA KWELI, USHAURI WENU

    Mahusiano ya kifamilia yalisababishwa na uchumba.Uchumba ukiisha kufa na familia zitarudi hali yake ya zamani kabla ya yauchumba(naturally).
  8. P

    JamiiForums Tanzania True Story: Miujiza ya "Archbishop Idahosa" kwa "Alhaji Dangote"

    Nyingi family
  9. P

    JamiiForums Tanzania KISA CHA KWELI, USHAURI WENU

    Uchumba sio ndoa.Ndoa ndiyo inaanishwa kidini.Labda itokee kama kwa Yusufu na mchumba wake bikira Maria,ambapo ilibidi Mungu kwa Roho mtakatifu aingilie kati kuuendeleza huo uchumba kwa kusudi lake Mungu.
Back
Top Bottom