Recent content by petersonchris

  1. petersonchris

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu, i must admit that,my attention is highly drawn on this.please naomba niwe considered as one of your guys. thank you
  2. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    hahahah wallah kama hauna moyo mgumu huwez kuishabikia arsenal
  3. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    ni kweli mkuu ngoja tuendelee kuwa wavumilivu
  4. petersonchris

    hizi mvua za dar shida tu

    mbili tu aisee
  5. petersonchris

    hizi mvua za dar shida tu

    asante sana mkuu ntalazimika kufanya hivyo
  6. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    hizi ni ndoto hatutaewza mkuu
  7. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    kazee hakanaga aibu kale
  8. petersonchris

    hizi mvua za dar shida tu

    leo nimefua vishuka vyangu kabla havijakauka na mvua nayo ikaja kuharibu..sasa hivi nimerudi ili nianue nakuta ndo kwanza vinavuja maji. naona kila dalili ya kutoa pazia mlangoni ili nijifunike mana hamna namna *akiliyangunaijuamwenyewe*
  9. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    daah inauma sana. huyu mzee bora akapumzike tu
  10. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    mkuu nami nipo mbioni kuhama japo kwa mkopo tu, nitarudi wenger akisepa
  11. petersonchris

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    hivi mashabiki wa arsenal tumemkosea nini Mungu?
  12. petersonchris

    Hodi JF

    asante sana
  13. petersonchris

    Hodi JF

    asante sana
  14. petersonchris

    Hodi JF

    ok asante kwa kunielekeza mkuu
  15. petersonchris

    Hodi JF

    asante sana mkuu
Back
Top Bottom