Mie nilikua mpenzi sana wa hy chanel ila ss hv kiukwel nishindwa kuielewa nadhani walioianzisha hawakua serious ndio maana wanaanza kuingiza matangazo mengine ambayo kimsingi hayaendani na chanel husika ss hilo swala la Megawati za umeme ingetakiwa waandae ki pindi TBC ndio warushe hy matangazo...
Ss km sheria inasema hivyo vp kw wagombea waliotoka vyama vingine na kujiunga ccm hy sheria haiwahusu wao au? Eg Mh.Waitara, Mh Mtolea, Mh. Gekul,.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nadhani wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuchangia vitu ambavyo havina maana na ambavyo uwezo wako wa kuvichambua ni mdogo, yule mtumishi hakuna jambo lolote baya alilolisema yeye alichokifanya ni kuelezea alichoshauriwa na mainjinia ss ww unajifyatua kuchangia ujinga, na kuhusu...
Ndugu kabla hujacoment chochote hebu jaribu kusoma kwanza kilichoandikwa kw umakin, Imeandikwa kahukumiwa kifungo cha maisha ww unaandika eti miaka 5 !?
Kuna vitu vingine sio vya kuweka siasa mbele ww watu wanahoji huo utaratibu wa kuwapunguzia watu kero kw kuwakamata ww unaweka utumbo wako hapo eti majizi chadema akili zikae sawa ss hapo chadema wanaingiaje hapo, ni bora kukaa kimya uonekane na busara kuliko kuongea halafu uongee upumbavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.