Maajabu!: RC Gambo atumia Polisi kuwakamata wamachinga wasio na vitambulisho, adai lengo ni kuwapunguzia usumbufu!

Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,063
2,983
Mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Mrisho Gambo leo ameongoza kamatakamata ya wafanyabiashara wadogo jijini humo akidai lengo ni kuwapunguzia kero.
mkuu wa mkoa huyo aliambatana na RPC aliyedai kupita mtaa kwa mtaa kuwakamata machinga kwamba hiyo ndiyo customer care ya jeshi la polisi
Bwana Gambo unampunguziaje mtu kero kwakumkamata na kumuweka ndani?
je ni kweli bodaboda asipokuja na kitambulisho barabarani anapata usumbufu? ni usumbufu gani huo? mbona hawaruhusiwi kuingia maeneo ya mijini je hii sio kero
(source, eatv habari)
 
Kila kukicha Kila mtu na lake sijui wanaipeleka wap hii nchi
 
Safi sana Gambo ,piga kazi mpaka majizi chadema akili ziwakae sawa.
Kuna vitu vingine sio vya kuweka siasa mbele ww watu wanahoji huo utaratibu wa kuwapunguzia watu kero kw kuwakamata ww unaweka utumbo wako hapo eti majizi chadema akili zikae sawa ss hapo chadema wanaingiaje hapo, ni bora kukaa kimya uonekane na busara kuliko kuongea halafu uongee upumbavu heshima yako ishuke km ilivyoshuka kw kupost upumbavu@etwege
 
Hivi wanaArusha mnashindwa kumpumzisha mahala pema huyo Gambo? Muwahisheni huyo akapumzike, asiwasumbue.
 
Ndio tatizo la huyu mtu akushavuta, ile siku alisema bila magu asingeona mvua ya mawe alipiga pafu 2 tu sasa hili la machinga sijui nani kampa tena kitu cha meru.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Mrisho Gambo leo ameongoza kamatakamata ya wafanyabiashara wadogo jijini humo akidai lengo ni kuwapunguzia kero.
mkuu wa mkoa huyo aliambatana na RPC aliyedai kupita mtaa kwa mtaa kuwakamata machinga kwamba hiyo ndiyo customer care ya jeshi la polisi
Bwana Gambo unampunguziaje mtu kero kwakumkamata na kumuweka ndani?
je ni kweli bodaboda asipokuja na kitambulisho barabarani anapata usumbufu? ni usumbufu gani huo? mbona hawaruhusiwi kuingia maeneo ya mijini je hii sio kero
(source, eatv habari)
 
Wafanyakazi wa Arusha wamegeuzwa mamachinga.. Ofisini hawaonekani wapo bize kuuza vitambulisho maana wanatembea navyo shingoni.. Nafikiri Rais atengeneze vitambulisho vingine vya wafanyakazi mamachinga..
 
Mods naomba huyu jamaa Etwege mumtoe humu. Na hata akifungua account mpya futilieni mbali. Hamuwezi kuwa na member takataka kama huyu.
sijui analipwa shilingi ngapi huyu zwazwa? yeye kila saa anasema majizi chadema hasemi chadema wameiba nini?
hasemi nani aliuza nyumba za serikali na hasemi lolote kuhusu ile 1.5 trilion amekalia majizi chadema tuuu kama kasuku
 
Back
Top Bottom