Mama mkubwa upo, hongera, umenikumbusha kitu, mwenye SHAMBA aliajiri vibarua kwa ujira wa sh 2000, wa asubuhi 2000, wa mchana 2000 na jioni 2000. Walipomaliza akawalipa sawa sawa, wale wa asubuhi wakalalamika, hawa wamefanya saa 1 tu, twalipwa sawa? Mwenyewe SHAMBA akawauliza tumepatana vipi...