Je umetia nia kugombea uongozi wowote katika Uchaguzi Mkuu na unapanga kufanya kampeni ili uchaguliwe?
Elewa mbinu na mikakati ya kufanya kampeni kwa mafanikio.
1.Hatua ya kwanza ni kusoma hali ya kisiasa ilivyo. Hapa unatakiwa kuangalia umma wa watu unaotaka kuwaongoza unahitaji nini hasa...
TUJENGE HOJA HAPA
Kwenye harakati za kisiasa inaelezwa kuwa kadri harakati zinavyopamba moto ndivyo wanaharakati hupitia wakati mgumu ikiwemo kuwekwa kizuizini wakati mwingine hata kupoteza maisha kwa sababu hakuna dora inayokubali mageuzi kwa wepesi pasipo kuyalinda kwanza.
Zimbabwe...
Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa.
Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
Kuna muda akili yangu inahama kabisa nafikiria mbali sana kuhusu hii dunia
Nikipita mtaani watu wanajenga majumba makubwa Kama mahekalu najiuliza wenzetu wanatoa wapi hizi hela?
Tazama hii fensi gharama yake si inatosha kabisa kujenga nyumba ya kisasa ya vyumba vitatu? Najiuliza kimya kimya...
Hizi ni hoja kumi alizozitoa Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima akihoji na kushauri.
1.Kuna wimbi la utekaji, na uvamizi wa kikatili wa raia pasipo hatia wala utaratibu wa kueleweka.
2.Vyombo vya ulinzi nchini havijaeleza kushindwa kushughulikia matukio ya utekaji wa raia kwanini hatua hazichukuliwi...
"Dhubul iBhulu! Kill the Boer, Kill the Farmer, Victory is certain".
Kauli tata iliyomuweka kikaangoni Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mbele ya Rais wa Marekani Donald Trump walipokutana mei 21, 2025 Ikulu ya Washington DC.
Je kauli inayomkaanga Ramaphosa ilitoka kwenye kinywa cha nani na...
Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja.
Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na...
Je wewe ni miongoni mwa watu wanaokwepa maji, kila ukiwaza kuoga unapata uvivu na kuogopa baridi?
Kuoga kuna raha yake na kuna manufaa makubwa katika maendeleo ya mwili wa binadamu.
Sasa leo hii tuangazie umuhimu wa kuoga, sio kuoga tu yaani kuoga mwili mzima kiafya na kiakili.
Hizi hapa faida...
"Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu"
Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache.
Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele.
Iwapo serikali itawajibika...
Wakati wananchi wa Tanzania wakilalamika kupanda kwa bei za nafaka sokoni hasa bei ya mahindi hali hiyo imekuwa gumzo zaidi nchini Malawi.
Kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na wizara ya kilimo ya nchini Malawi kilo moja ya mahindi inauzwa kwa kwacha 1050 ambayo ni sawa na Tsh 1600 bei...
Kumekuwa na vuguvugu na dalili za mgawanyiko kuhusu msimamo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kupitia kaulimbiu No Reforms No Election iliyoasisiwa na chama hicho chini ya mwenyekiti wake Tundu Lisu.
Mgawanyiko huo wa kimtazamo unatokana na kampeni ya kutoshiriki uchaguzi pasipo...
"Kwanini hauvai suti, je unamiliki suti, wamarekani wengi wanakushangaa kwanini hujavaa suti kwamba hauheshimu ukuu wa ofisi ya White House"?
Brian Glenn mwandishi wa habari wa marekani alimuuliza Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alipotembelea Ikulu ya Marekani kwa ajili ya mazungumzo na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.