Recent content by peter kasanga

  1. peter kasanga

    njia utakazo zitumia kutengeneza pesa kupitia app uliyoitengeneza

    shukrani mkuu... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. peter kasanga

    njia utakazo zitumia kutengeneza pesa kupitia app uliyoitengeneza

    nimekua nikijuuliza kwa mda sana ni namna gani app developers wananufaika na app zao, na je unaweza kutengeneza shingapi kwa kila app uliyotengeneza naombeni msada wenu wakuu kw mwenye ujuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. peter kasanga

    wazo la kutengeneza app itakayo kupatia pesa

    habari wakuu na jua mnaendelea vyema na majukumu ya kujikwamua kimaisha tuko pamoja naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenyewazo la aina gani ya app nitengeneze itakayo nisaidia kutatua matatizo ya watanzania kiurahisi kupitia app na itakayo weza kunitengenezea pesa ... Sent using Jamii Forums...
  4. peter kasanga

    Jinsi ya kupata pesa na online survey

    Msaada online survey ni kitu gani na unafanya vipi kupata pesa ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. peter kasanga

    Jinsi ya kupata pesa na online survey

    Msaada je online survey ni kitu gani na unawezaje kupata pesa ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. peter kasanga

    Jinsi ya kutengeneza social network app

    Nashukuru san mkuu kwa ushauri wako mzuri so kama wanaweka adds zao baada ya kupata user 1k unanishauri nifanye nini kaka au utanisaidiaje mana na hamu ya kuanzisha social network yangu mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. peter kasanga

    Jinsi ya kutengeneza social network app

    Mwanafunzi kaka wa advance Sent using Jamii Forums mobile app
  8. peter kasanga

    Jinsi ya kutengeneza social network app

    Kwa anaye fahamu jinsi ya kutengeneza social network bila kufanya coding naomba anielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
  9. peter kasanga

    Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

    Matapeli kivipi kaka mbona watunasikia wanapiga pesa kama forex
  10. peter kasanga

    Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

    Je kuna utofauti gani kati ya forex na bitcoin na je ni biashara gani kati ya hizo ni rahisi kufanya na inakupaje pesa na je nashauriwa kufanya biashara ip kati ya hizo mbili??
  11. peter kasanga

    Aina ya biashara ambayo unaweza kuanzisha chuoni

    Msaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.
  12. peter kasanga

    Naomba ushauri wa hii biashara ya Jamalife

    Guys naomba ushauri wenu kuhusu hii biashara je ni ya kweli na inafaida !! JAMALIFE HELPERS GLOBAL. Jamalife helpers global ni shirika lisilo la serkali la kimataifa linalo wezesha wanachama wake mfumo wa kujikwamua kiuchumi duniani kwa njia ya Mtandao. Makao makuu yake yapo Belgium na...
  13. peter kasanga

    Pata kitabu cha siri za kutajirika

    Pata kitabu cha siri za kujajirika kwa shilingi 3000/= kwa soft copy ( nakutumia watsapp) na 6000 hard copy mawasilino 0744951631 kwa maelezo soma hapachini kwenye hii picha
  14. peter kasanga

    Jipatie kitabu cha siri za kutajirika...

    pata kitabu cha siri za kutajirika na biashara soft copy shilingi 3000 hard copy 6000, mawasiliano 0744951631 soma kava hapo chinj kwa maelezo zaid
  15. peter kasanga

    Jinsi ya ku apply

    Ok nashukuru broo
Back
Top Bottom