njia utakazo zitumia kutengeneza pesa kupitia app uliyoitengeneza

peter kasanga

Member
Jun 1, 2017
49
95
nimekua nikijuuliza kwa mda sana ni namna gani app developers wananufaika na app zao, na je unaweza kutengeneza shingapi kwa kila app uliyotengeneza naombeni msada wenu wakuu kw mwenye ujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,034
2,000
Ngoja wajuvi wa mambo waje mkuu,nami ngoja niwasubirie ili nijifunze kitu
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
7,380
2,000
kuna admob, ni ya google hii, unapachika admob banner kwenye app yako, then wanakulipa per view (ela kiduchu sana) au per click (afadhali kidogo) au unaweka zile admob interstitial , hii ni ad inakava page nzima (kero kinyama kwa mtumiaji wa app ) ila kwa wewe developer ndio inakuingizia mpunga zaidi
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,214
2,000
nimekua nikijuuliza kwa mda sana ni namna gani app developers wananufaika na app zao, na je unaweza kutengeneza shingapi kwa kila app uliyotengeneza naombeni msada wenu wakuu kw mwenye ujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni somo pana Sana mkuu,

Na inategemea na vitu vingi

Baadhi ya Developers wameajiriwa hivyo wana mishahara

Baadhi wana tengeneza na kuuza hizo app kama project

Baadhi ya app zinavutia Angel investors, na Venture capitalist ambao wata wekeza na hivyo developers na founders wakachukua chao

Baadhi wana pata grants na kushinda competition prizes

Baadhi wanaishi kwa kumonitize app zao ambapo njia kuu za kufanya hivi ni Matangazo (ad income)

Subscription fee, service fees na Licence fees.

Inategemeana na app yako umetengeneza, una lengo gan, ina tatua changamoto gan, na una ubora gan

You Can make From zero au negative kabisa (ukapoteza Muda na resources chache) au ukamake up to Billions dollars.

shukrani mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom