peter kasanga
Member
- Jun 1, 2017
- 49
- 9
habari wakuu na jua mnaendelea vyema na majukumu ya kujikwamua kimaisha tuko pamoja naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenyewazo la aina gani ya app nitengeneze itakayo nisaidia kutatua matatizo ya watanzania kiurahisi kupitia app na itakayo weza kunitengenezea pesa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app