Ha ha ha ha ! Umenikumbusha msemo alikuwa anaupenda sana mwalimu wangu wa Physics pale Tosamaganga, pumnzika kwa aman Mwl Sika
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima hajalipiza kisasi! Amefichua uovu! Baada ya kuona kiongozi anafanya mambo yanayoleta wasiwasi wa uwezo wake, akaamua kufuatilia ndo akagundua kuwa alipata zero yaani alizungushaaa.
Kwa hiyo unadhani zikiwekwa kwenye fixed account zinafungiwa kama umeweka kwenye kibubu? Mzunguko wa fedha unaongezeka kwani watu wanakopa na na kuzitumia kwenye matumizi mengine panoja na kufanya investment
Kwa akili ya kawaida kabisa haiwezekani high profile criminal akasafirishwa bila kufungwa pingu halafu eti alikuwa anatoroka akapigwa risasi. Tungesikia msafara wa police umevamiwa kwa lengo la kumtorosha, kusingekuwa na maswali mengi juu ya kumpiga risasi. Kuna kitu si bure. Ila ipo siku ukweli...
Na waliopiga za siri wakasema hapana kwa sura zote 1 mpaka 10 itakuwaje? Na vipi hao mnao waita kwenye kamati ya majadiliano wangepika za hapana kwa siri ingekuwaje? Jamani watanzania mnawakadiria vibaya , si kama mnavo wadhania. Uhuni mtupu
Alicho fanyiwa mama huyo ni kitendo kisichovumilika hata kidogo! Kuna kila sababu mashirika ya kutetea haki za binadamu kuingilia kati, ndugu zangu watanzania kama kweli imefikia hali hii katika mahakama zetu tumekwisha sisi walalahoi. mama ambebe mwenyewe tumboni miezi 9, leo sababu tu ya pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.