Nape umechaguliwa kama kasisi MZOEFU UTAKAYE ONGOZA MAZISHI YA CCM 2015, Usiwe na shaka, kwenye mazishi watakuwepo wanachama watiifu watakao vumilia hadi mwisho kuona kifo na mazishi bila shaka wewe huwezi kuhama, au vipi!
Komu ni chaguo sahihi, ni mpiganaji asiye choka, amekisapoti chama kwa muda mrefu, namfahamu vizuri uwezo wake, tunamhitaji mtu wa namna hii kuweza kubalansi mambo ndani ya vijana wa CDM.
Nape , unatuboa, wewe umekosa mwelekeo kabisa, kwanza haijulikani kama bado unapiga vita ufisadi /mafisadi, ni wewe uliye kwenda Arumeru Mashariki ukapanda jukwaa lilelile la kifisadi pamoja na fisadi nambari wani nchini, leo uta waambia nini wenye nchi? Vijana unao zungumzia wewe ni wale ulio...
Baada ya tukio hili, jamii ya watanzania tunatakiwa kuamka usingizini na kuanza kuwa macho na watu wanao pewa umarufu usio stahili. Tunatakiwa kuanza kuwatetea watoto wote wanao ingizwa katika sanaa na kudaki haki yao ya kulindwa dhidi ya mafisadi/wabakaji kama marehemu S.K. , ni wakati ssa wa...
Watetezi wote wa haki za watoto na wapenda haki wote Tanzania, huu ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo uchungu wetu juu ya udhalimu huu kwa watoto wetu wote bila kujali watetezi wa uchafu wanasema nini
NAPATA SHIDA KUUKUBALI UMAARUFU WA KANUMBA
Napata shida moyoni kumkubali Kanumba kama mtu muungwana na aliye stahili heshima aliyo pewa ya kuzikwa namaelfu ya watu na tena viongozi wetu wa kitaifa. Nataka kujipambanua mapemahapa kuwa sina shida na mtu yeyote Yule maarufu haswa kama umaarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.