Umaarufu wa Kanumba unanitia shaka !

Mwenye picha ya kanyumba tafadhali aiweke hapa nami nimjue huyu jamaa!inaelekea alikuwa maarufu sana dar es salaam!!!
 
me nauliza kabla ya kanumba huyo lulu alikua na wangapi?na hata alipokua nae alikua peke yake?binafsi nasema kama lulu angekataa kanumba angemlazimisha?mara ngapi hako kabinti kametolewa kwenye vyombo vya habari na mambo ya ajabu anabu?mi cdhani kama marehem anastahili kulaumiwa et mzinzi ama amekaharibu hako katoto.nadhani wa kulaumiwa ni wazazi wa lulu kwa kutokumlea mtoto wao ktk maadili yanayofaa.mtoto aliyelelewa ktk misingi inayofaa hawez kupatwa na kashfa chafu kama alizokua nazo huyo binti.me naona mkuu ucmuhukumu marehemu kua ni mzinzi cjui nini ilhali ameshakwenda kwa hakimu wa haki,2mwachie Mungu amuhukumu.

Suppose unajua Lulu alikuwa na wangapi b4 SK,does it make it right for SK to date 16yrs old girl?
Unasema kama Lulu angekataa Sk asingemlazimisha,do u know anything about "TAKING ADVANTAGE OF"?
Seriously 16yrs vs 28yrs??
Ukija kubarikiwa kupata binti mzuri akifika 15-17yrs old akamatwe na peodophiles then u'll understand why some people are appalled by what happened.
Eti mtu unasema huyu mkubwa kisa katembea na watu kadhaa!
Being sexually active doesnt mean ur GROWN UP,even 12yrs ols can be sexually active,would u call her a grown up?pleeaaseee!
 
Peter John, unataka tufanye nini sasa,
Kanumba keshakufa, lulu yuko segerea anasubiri kesi yake itatajwa tena tarehe 24 April 2012
Wewe kama ulikuwa unajua kuwa kanumba anatoka na mtoto miaka mitano iliyopita ulikuwa unasubiri nini kumfungulia mashtaka kanumba, unasubiri amekufa ndo unatuletea hii thread hapa, tufanyeje sasa, tumfungulie mashtaka marehemu au unataka tufanyeje
 
Watetezi wote wa haki za watoto na wapenda haki wote Tanzania, huu ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo uchungu wetu juu ya udhalimu huu kwa watoto wetu wote bila kujali watetezi wa uchafu wanasema nini
 
Baada ya tukio hili, jamii ya watanzania tunatakiwa kuamka usingizini na kuanza kuwa macho na watu wanao pewa umarufu usio stahili. Tunatakiwa kuanza kuwatetea watoto wote wanao ingizwa katika sanaa na kudaki haki yao ya kulindwa dhidi ya mafisadi/wabakaji kama marehemu S.K. , ni wakati ssa wa kufanya uchunguzi wa wale wote walio baki na kujua mahusiano yao na watoto kaa Lulu yakoje?
 
umekuwa kati ya watu wachahce sana wenye uwezo mzuri wa kufikiri. weng hawakuwa na uwezo wa kufikiri kwa kina.umechambua jambo hilo kwa mtazamo ambao pia nimekuwa nao na kushangaa watu wamenufainika na nin na huku kumkuza ghafla huyu bwana?binafsi mimi si kuwa mtizamaj wa film za huyu bwana,hazikuwa na uhalisia na ni za kitot sana.na nilikuwa nawaza kwa msomi kama mimi ningejifunza nin.lakin mbaya ni jis ambavyo alitumia nafas ya umaskin wa mabint zetu,ukosefu wa elimu,upeo mdofo na tamaa kuwahadaa.leo anaonekana ni shujaa kwa matendo hayo???????? loh...!!!! nchi hii ina laana kiasi gani??????????
 
Watetezi wote wa haki za watoto na wapenda haki wote Tanzania, huu ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo uchungu wetu juu ya udhalimu huu kwa watoto wetu wote bila kujali watetezi wa uchafu wanasema nini
We Peter kama uliyajua haya yote mapema wewe pamoja na hao watetezi wa haki za watoto mlikuwa wapi,acha kutuzt ga na ***** huu bana,umeacha hadi huyo lulu kabakwa weee hadi kanogewa,ulikaa kimya afu leo mambo yamefka hapo ndo ndo unakuja na stori kama hizi"this is purely NAIVE CONSCIOUSNESS", unaanza kutoa wito leo wakati inaonyesha uliyajua haya tangu siku nyingi,Kanumba amekufa,lulu yuko katika mikono salama acha sheria ichukue mkondo wake, and for WE, BACK TO TOPIC, MAWAZIRI WALE BADO TUHAWAJAJIUDHULU?
 
Baada ya tukio hili, jamii ya watanzania tunatakiwa kuamka usingizini na kuanza kuwa macho na watu wanao pewa umarufu usio stahili. Tunatakiwa kuanza kuwatetea watoto wote wanao ingizwa katika sanaa na kudaki haki yao ya kulindwa dhidi ya mafisadi/wabakaji kama marehemu S.K. , ni wakati ssa wa kufanya uchunguzi wa wale wote walio baki na kujua mahusiano yao na watoto kaa Lulu yakoje?
Tuanze na mawaziri waliofuja mali za umma afu ndo tuhamie kuchunguza mahusiano ya watu,
 
Ndio mnapa umaarufu zaidi kumzungumzia Marehemu!
Tumuache apumzike kwa amani kaka wa watu.
 
me nauliza kabla ya kanumba huyo lulu alikua na wangapi?na hata alipokua nae alikua peke yake?binafsi nasema kama lulu angekataa kanumba angemlazimisha?mara ngapi hako kabinti kametolewa kwenye vyombo vya habari na mambo ya ajabu anabu?mi cdhani kama marehem anastahili kulaumiwa et mzinzi ama amekaharibu hako katoto.nadhani wa kulaumiwa ni wazazi wa lulu kwa kutokumlea mtoto wao ktk maadili yanayofaa.mtoto aliyelelewa ktk misingi inayofaa hawez kupatwa na kashfa chafu kama alizokua nazo huyo binti.me naona mkuu ucmuhukumu marehemu kua ni mzinzi cjui nini ilhali ameshakwenda kwa hakimu wa haki,2mwachie Mungu amuhukumu.
suala la lulu kukubali au kukataa halialalishi alichokifanya SK na hii ni kwa kuzingatia umri wa lulu na sheria za nchi.sawa kametolewa kwenye vyombo vya habari kwa ishu nyingine.labda nikumbushe ni chombo kipi cha habari kilituonyesha picha za lulu akifanya ngono. watu wanaweza kuongea chochote lakini wakashindwa kudhibitisha. kila binadamu ana hobbies zake. je pengine lulu anapenda sana kuwa kwenye movies ndio maana SK aka-take advantage hiyo kumfanza vibaya.Hivi unafahamu kuwa mwanamke anaweza akakukubalia huku moyoni mwake hajaridhika 100%. Hivi unajua ni wanawake wangapi wananyanyasika kwa mabosi zao makazini kwa ajili ya chupi zao, na wanakubali ili kulinda ajira zao ambazo wakizipoteza kupata nyingine ni ndoto na wana watoto wanaowategemea? Je unajua ni mabosi wangapi wamewafukuza kazi wanawake wenye umri mkubwa ili waajiri wasichana vijana ili wawafanyie ufuska wao? Hili suala la unyanyasaji wa kijinsia linatakiwa kukemewa sio kwa SK tu, bali kwa taifa zima la Tanzania. TWO WRONGS DONT MAKE A RIGHT.
 
Napata kichefuchefu cha wasanii weu hasa story ya huyu aliyezaa na kanumba iliyoanikwa na globalpublishers
 
Peter John mkuu asante kama mtazamo chanya unao.
Mie nataman nichapishe negative side za SK ili Lulu awe safe.

Si kwamba nina interest na uzur wa Lulu hapana, ila ninauchungu sana kwani hatendewi haki mpaka leo.

Nilisoma hapa JF kuwa Ray anataka kuigiza na Jennifer wa Uncle JJ eti kumuenz SK.

Kama serikali yetu ina akili huo mpango wa Ray upigwe stop kabisa kwa kuwa tayar kamuona uzuri yule mtoto anataka kuendeleza uharifu wao.

Ntafanya kila niwezalo kuzuia hili ikiwa ni pamoja na kupata mawasiliano na wazazi wa Jennifer
Wana Jf tusaidiane, we learn through mistakes.

Lulu hana hatia hata kama aliua hakukusudia.
Malaya marehemu ndo mchafuzi na nadirik kusema kalipwa chake bado mimi na wewe.
 
suala la lulu kukubali au kukataa halialalishi alichokifanya SK na hii ni kwa kuzingatia umri wa lulu na sheria za nchi.sawa kametolewa kwenye vyombo vya habari kwa ishu nyingine.labda nikumbushe ni chombo kipi cha habari kilituonyesha picha za lulu akifanya ngono. watu wanaweza kuongea chochote lakini wakashindwa kudhibitisha. kila binadamu ana hobbies zake. je pengine lulu anapenda sana kuwa kwenye movies ndio maana SK aka-take advantage hiyo kumfanza vibaya.Hivi unafahamu kuwa mwanamke anaweza akakukubalia huku moyoni mwake hajaridhika 100%. Hivi unajua ni wanawake wangapi wananyanyasika kwa mabosi zao makazini kwa ajili ya chupi zao, na wanakubali ili kulinda ajira zao ambazo wakizipoteza kupata nyingine ni ndoto na wana watoto wanaowategemea? Je unajua ni mabosi wangapi wamewafukuza kazi wanawake wenye umri mkubwa ili waajiri wasichana vijana ili wawafanyie ufuska wao? Hili suala la unyanyasaji wa kijinsia linatakiwa kukemewa sio kwa SK tu, bali kwa taifa zima la Tanzania. TWO WRONGS DONT MAKE A RIGHT.

upo sahihi kabisa Mkuu
 
aliyeleta hii thread cjui ndo katoka abroad au kijijini kwao hivi huyo lulu unayemuongelea unamjua vizuri? Km hujui bora ukae kimya au umeona donge JK kukatisha ziara kwa ajili ya jembe?, R.I.P THE GREAT
 
Umechemka kama una bifu binafsi na Lulu ieleweke.
Lulu unamjuaje wewe?
Lulu hata kama anawanaume 1000 aliyemuharibu ni mzinzi Kanumba aliyeanza kumuomba kwao toka zaidi ya miaka 4 iliyopita.
Tabia ya Lulu haiwez kumhukumu eti kisa mtunz wenu wa tumaigizo twa kiswahili kaondoka.
kama hamuwez kuwataza akina Washington Denzel na Angelina Jolie cheza mchezo wa rede.
Kifo cha kanumba ni ukombozi mkubwa kwa wadogo zetu wa kike.

Karibu Jf naona una wiki 5 toka ujiunge.
 
Back
Top Bottom