M4C yaingia Moshi Vijijini Cyril Chami ahaha

M4C itaonekana ina nguvu iwapo itaweza kubomoa maeneo yafuatayo: Rufiji, Mafia, Kilwa, Masasi, Ruangwa, Liwale, Mtwara, Newala, Kibiti, Kilolo, Mufindi, Kyela, Kilindi, Pangani, MTERA, MVOMERO, TEMEKE, Pemba, Bagamoyo, Chalinze, Same, Mwanga



Huku koote ulikotaja kinachowasumbua ni elimu. wao wana elimu dunia na uelewa wao wa kupambanua mambo ni mdogo sana. Shule za madrasa zinafundisha mambo ya imani.

huko kusini utandawazi unasogea na wameanza kuamka na mufindi mpaka kyela tuafika.
 
Komu ni chaguo sahihi, ni mpiganaji asiye choka, amekisapoti chama kwa muda mrefu, namfahamu vizuri uwezo wake, tunamhitaji mtu wa namna hii kuweza kubalansi mambo ndani ya vijana wa CDM.
 
CCM ni NURU ya AMANI nchini Tanzania, CDM ni kibaraka wa Conservative wanataka kubadili mila na desturi za watz; tuwaogope kama ukoma

IMANI YA CCM
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa

MASHARTI YA UANACHAMA
Ni rahisi kujiunga na CCM kwani masharti yetu yanamlenga mwananchi yeyote muadilifu

MALENGO YA CCM
CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo
 
name : Anthony calis komu
date of birth january 30, 1964
place of birth:uru-moshi
key qualification : ecomomist/polician
academic qualification
1988-1992- udsm, BA ecomics
1994- certicate in conflict resolution USA
1987- jkt-msange Tabora
1985-1987 high schoo-uru seminary moshi
1981-1984 seconadry education , uru seminary

1991-founder of NCCR(with marando, mbatia, mtikila, and james mapalala
1993-1999 director nncr mangeuzi
1999-todate director of finance -chadema

1995- aligombea ubunge kawe kwa tiketi ya NNCR mageuzi
2000- aligombea moshi rural-chadema
2005-aligombea tena moshi rural kwa chadema

ni class mate na cyril chami tangu from one hadi university of dsm
ukweli na mojawapo ya watu waliothubutu kupigania demokraxsia ya vyama vingi wakati ule wa vitisho
cv nimeiandika mwenyewe ninavyomfahamu
 
M4C itaonekana ina nguvu iwapo itaweza kubomoa maeneo yafuatayo: Rufiji, Mafia, Kilwa, Masasi, Ruangwa, Liwale, Mtwara, Newala, Kibiti, Kilolo, Mufindi, Kyela, Kilindi, Pangani, MTERA, MVOMERO, TEMEKE, Pemba, Bagamoyo, Chalinze, Same, Mwanga

Kyela na Mvomero umeingia choo kingine hapo.Maeneo hayo ni ya kikamanda zaidi ya ujuavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom