Recent content by peter babagody

  1. peter babagody

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Kama tunakumbuka msimamo wa Chadema ni kutotambua matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na walisema hawatateua wabunge wa viti maalumu sasa ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua mambo mengi mfano; Chadema wanatambua kabisa hawawezi kuteua viti maalumu kwa kuwa kwakufanya hivyo watakuwa...
  2. peter babagody

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

    Hapo ndo kunatofauti ya vijana wa ccm na chadema , ccm hawana maneno mengi sasa hivi wapo vituoni wanapiga kura ila vijana wengne wapo mitandaoni wanatafuta updates
  3. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Kero: TCRA mlisema local channel ni bure mbona zinalipiwa?

    Serikali wameshindwa vipi kusimamia sheria kuhusu vin'gamuzi? Serikali kila siku wanatoa matangazo kkuhusu chaneli za bure lkn hakuna utekelezaji unaofanyika badala yake wanatumia raia kutoa taarifa ina maana wao hawaoni? Hata njia wanazotumia ili kupata taarifa ni ngumu kweli kwa watu ambao...
  4. peter babagody

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tujitathmini upya kama hii mbinu ya kuwazulia kashfa ya vyeti wabaya wetu itatuvusha 2020

    Kuna binadamu alisema anavyeti vya Makonda sasa mpaka Sasa hajaonyesha
  5. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Dar kuna wingu kubwa lakini mvua hainyeshi

    Lazima lishuke naona limeanza
  6. peter babagody

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni unafiki mlishawahi kutangaza list of shame

    Watanzania tunasahau tulipotoka mpaka tunaanza kushutumiana kwa lengo la kukwamisha jitihada zinazoendelea za kufuta au kutokomeza mtandao wa madawa ya kulevya Leo Bunge letu tukufu linaweka maazimio ya kukwamisha juhudi kwa kauli ya Makonda kuwa wanasinzia bungeni!? Leo hiyo imekuwa kauli...
  7. peter babagody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada website au link ya movie zilizotafsiriwa

    Kama hapo juu naombeni mnisaidie kupata movies zilizotafsiriwa kiswahili
  8. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Ebu tupiamo picha hapa ya role model wako wangu huyuu

    Nani huyu
  9. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

    Hoja yako haifai Kuna viongozi wengi wa makanisa Wana hoja tofauti hata walio ndani ya kanisa katoliki juu ya kile unachokiwaza Kwa sababu wewe ni wamlengo tofauti basi unaona kiongozi hafai kutoa maoni yake binafsi.. Mbona hukusema kuhusu Mzee wa upako kwa kauli yake kama ya Kadinari Pengo...
  10. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

    Kwaiyo ulitaka aseme maisha magumu.. punguani kabisa
  11. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Haya ni mazingaombwe tu inshu kubwa ipo chadema
  12. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Nipo maeneo ya Nzega Stand, watu wanapiga Picha na Jimmy Master kwa 2000 kila kichwa

    Hongera kumbe upo maeneo ya nzega nitafute tujuane
  13. peter babagody

    JamiiForums Tanzania Video

    Inasikitisha hii ya bwana Max Melo
Back
Top Bottom