Recent content by pesapesa50

  1. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

    CHAUMA mpo active aisee ila ile slogan yenu ya ubwabwa mlitisha sana
  2. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

    nae hashimu rungwe apunguze kufuga ndevu nyngi, kula ubwabwa akili inawaza ubwawa tu kuna maendeleo hapo
  3. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    atupe maan mambo ni mengi, barca leo katuvua nguo...aisee
  4. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    cjaelewa hii un bet kona kvp?
  5. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

    swala la demokrasia sijui, ila kuhusu rwanda aisee hawa watu wameendelea sana aisee ni nchi pekee ambayo naiyona ikiwa vizur kwnye invention za smartphone na juzi nimeonda wame donate almost billion dollar kwa mtu alie invent pikipiki za umeme
  6. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

    ww una nn kinachokufnya uongee utumbo hapa jf, motivatinal speakers wana mada kma zako mshamba na pumba, etii huna kazi wala mradi nitafute nikuoneshe acheni kuon watu wapuuz hapa jf mkachukulia poua kila mtu pungaa wee....etii #sinzapazuri we c barmedi unajiita majina ya bar
  7. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    kaizer chiefs 3 - simba 0 kaeni kwa kutulia mdomo uliponza kichwa
  8. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

    yaan huwa nakicheki sana nikagundua kuumbe sio waafrika tu ndo tuna struggle kwenda ughaibuni hata wazungu pia wana migrate sana kutafuta fursa, pia cases za madawa ya kulevya zpo dunia nzima wale customs pale airport wanashika unga sana
  9. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

    kweli unachoongea i agree with the #facts ipo hvo huko ughibuni watu wanahangaik sana na paperwork ,any ila mshaikamano ni kitu kizuri jaman watz ukipata ww wa kwanza saidia na wengne kwa mbinu nzuri au pia toa darasa maan huko watu weng wanapend kuja kuna fursa nyngi kuliko africa yetu hii ngumu
  10. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake

    yaan hipo hivo hawez kurudi tena madarakani amechezea bahati kusimamishwa ndo kufukuzwa kwenywe sasa ila waafrika hawaambiwi ukweli km wazungu
  11. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

    kaka ifike hatua watanzania tuwe kama wanaijeria tusaidiane kutimiza malengo ndo msingi wa ubinaadamu na ili waafrika tuendelee
  12. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    SIDHANI MAANA NI VIKAO VYA WAFANYAKAZI WA UMMA,MASHIRIKA NA VYAMA HUWA NA POSHO HIZO, PIA TUKI RECALL PALE ALIPOBABAIKA KUHUSU KUKOSA PENSION JAPO ELFU 30 WE UNAFIKIRIAJE HYO PESA INGEWEZA KU COVER MANGAPI VIJANA WANGAP LEO, MAKUNDI MAALUM MANGAP LEO YANAPAMBANA NA UCHUMI HALI MBAYA UKATUMIA...
  13. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    YAAN LILE LIMAMA LINAONA UKISHAKUWA RAISI UNAJIAMULIA TU CHOCHOTE, HIZO HELA SI ANGEWAPA WAZEE KWENY KIKAO MLIMANI CITY ANGEJIPATIA BARAKA
  14. pesapesa50

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

    ila ww pia ni mwandishi mzuri ungekomaa kwenye uandishi ungekuw maarufu na mwenye mafanikio na sio unakuja kushauri maisha ya watu humu jamii forum, mambomengne ni ya mungu tu,binadamu ana panga na mwenyez anapang yake ingekuw hvo ww na uandishi wako ungekuw mbali humu watu hatuonani hatujui...
Back
Top Bottom