Recent content by Pesanyingi

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa nini wadada wa kichaga hawana mapenzi ya kweli?

    Acha acha acha kabisa na kaa mbaliii.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Unapo sema kipato chako duni kwani hulipwi mshahara?.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba

    Ndiyo kama itawezakana nitashukuru.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba

    Anayefahamu tiba iwe ya mitishimba au za hospitali kwaajili ya tatizo(ugonjwa) wa baridi yabisi tafadhali.
  5. P

    JamiiForums Tanzania KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

    Matibabu uliyoyapata yalikusaidia ndug?
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Anajiuza huyo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

    Baada ya kufeli jaribio lako la kishetani ndiyo unatafuta ushauri ila ungefanikiwa wala usingejali. Pambana na huyo mpenzi mpya mjenge nyumba zenu. KATAA NDOA KIMBIA NDOA KIJANA
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawekezaje milion 10 Ili ikuletee faida ya elfu 99 m wekeza huu ni ukichaa

    Si ungemwambia huyo rafiki yako hichi unachokisema kwasababu upo nae?
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

    Wengine wanasubiri wachezaji na makocha wasiokuwa na mikataba ndiyo wawasajili huku wakitaka matokeo makubwa.
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

    Yani fedha utafute wewe, mke uowe wewe na bado unamuonea aibu. Kuna tatizo sehemu siyo kawaida.
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake upigwe marufuku nchini

    Hovyoo
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume; Hii imekaaje??

    Acha uzinzi na uwasherati mara moja. Alafu kuna mtu atakuja jichanganya hadi na kufanya sherehe kuoa mtu anayelazimisha hadi kuvuta nyeti mbalimbali za wanaume.
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuingia kwenye mahusiano na binti mwenye mimba

    Muache apambane na hali yake shukuru sana kuruka huo mtego. Yaani mtu ameshuhulishwa huko hadi kapata mimba we unataka kubeba mzigo wa wenzio.
Back
Top Bottom