Recent content by pesa maua

  1. pesa maua

    NACTE selection

    Chuo mwezi wa kumi na moja....nyie bisheni ila huo ndo ukweli
  2. pesa maua

    NACTE selection

    Nahitaji kwenda .....mbona mmepanic...tehe!teh
  3. pesa maua

    NACTE selection

    Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application Mara mbili kwa cheti kimoja miaka miwili tofauti...!!!kama unawasiwasi na cheti chako jiandae...
  4. pesa maua

    Roho imetulia kwa nimpendae

    Kwa kua ni ujinga.....acheni nibaki tu na ujinga wangu
  5. pesa maua

    Roho imetulia kwa nimpendae

    Tunaendelea.... Alinambia maneno haya"nimemuona F sehemu Fulani je uko tayari twende kumuona''F ni herufi ya kwanza katika jina LA binti yule...!!! Nilipigwa na butwaa nikamuuliza ulikua na lengo la kunikutanisha nae ndo maana umenileta hapa..??akanijibu hapana hata yeye kashangaa...
  6. pesa maua

    Laptop inauzwa

    Kula laki 2 mkuu
  7. pesa maua

    Laptop inauzwa

    Kula 20k
  8. pesa maua

    Bei za uchimbaji kisima

    Nipo Dodoma aisee....nahitaji sana kisima cha maji!!!ila swali langu je mita moja yatosha kupata maji
  9. pesa maua

    Roho imetulia kwa nimpendae

    Ahsante....!!!sio lazima unielewe sasa,muda ukifika utanielewa tu...
  10. pesa maua

    Roho imetulia kwa nimpendae

    Tena hua namuona akiwa amebeba mtoto mdogo...!!!niliumia kusikia maneno Yale maana nilijua anaweza akawa tayari kashaolewa...!!! Hatimae muda ukifika ambapo nikifanya mtihani wa kidato cha NNE,muda wote huo sikua na mahusiano na mwanamke yoyote yule...ilifikia muda mtaani na hata familia...
  11. pesa maua

    Roho imetulia kwa nimpendae

    Kwa jina naitwa Mr.beca ni mzaliwa wa mkoani Dodoma...!!!mnamo mwaka 2001nikiwa darasa la tano nilitokea kuvutiwa na binti mmoja ambae kiukweli nilimpenda sana...tena sana!!katika kipindi hiko yeye pia alitokea kunipenda ila hakuna ambae alipata ujasiri wa kufunua mdomo na kumtamkia mwenzie neno...
  12. pesa maua

    Wale wote tulioapply kozi za Afya kupitia NACTE tukutane hapa!!

    Mkuu..kua serious!!! Kuna vya kutania....ila hapa si mahala pake kaka
  13. pesa maua

    Wale wote tulioapply kozi za Afya kupitia NACTE tukutane hapa!!

    Walituweka wazi Juu ya hili...walituweka wazi kwamba kati ya wiki ya mwisho ya mwezi wa sita au wiki ya mwanzo ya mwezi wa saba...ndo maana inabidi tutegemee hivyo
Back
Top Bottom