Harnandez
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 408
- 344
Kwa masitikiko makubwa hivi bodi kwanini hawajawapa wanafunzi wa hivi vyuo fedha za kujikimu mpaka sasa zilizopaswa kutolewa mwezi wa tano???!! Mnafikiri watoto hao wanaishi vipi na katika hali gani????!! Hapa kazi tu na njaa yote hii ukizingatia vile vyuo ni vya madaktari na wananyanyaswa namna hii mseme kama pesa hakuna tujue moja vyuo vifungwe. Siyo ukienda bodi wanasema pesa iko wizarani ukienda wizarani iko hazina. Ukirudi hazina iko bodi sasa tuelewe nini. Nawasilisha