Recent content by Peruu1

  1. P

    Natuhumiwa kutembea na shemeji yangu sasa nimeamua kufanya kweli!

    Swahiba achana na mawazo hayo,mweleze mke wako Kwa utulivu namna ambavyo hufurahishwi na tabia yake ya kukuhusisha unatembea na ndugu yake wakati sio kweli, Unajua kwanini unaanza kumchukia mke wako?humchukii mke wako kwasababu ya kukuhusisha na kuwa na mahusiano na mdogoake au labda kwasababu...
  2. P

    Hivi JF hakuna tunaokula utamu wa mapenzi?!

    Siku zote ubaya huvuma kuliko wema,wanaolizwa na mapenzi ni wachache kuliko wanaofurahia,ila wanaofurahia mapema hawaweki hadharani furaha Yao, Pamoja na kufurahia huko siku ikatokea hata Kwa bahati mbaya mwenza wake akakosea tayari nyuzi ya malalamiko itaanzishwa,kashasahau Yale mema...
  3. P

    Wanaume mnao tumia english kutongoza

    Ngoja nijiandae kukutongoza Kwa kilugha chako,au nacho hutaki?
  4. P

    Moto Umemuanzia Mwigulu Mapema Mno Bungeni!

    Wengi tinashabikia bila kujua utaratibu upoje,Mwigulu yupo sahihi kabisa,Sasa tunaacha kuungana naye Ili tumpate mwizi wetu sisi tunamkomalia yeye kama Ndo mwizi wetu,halafu wahusika wapo pembeni kimyaaaa!mwisho wa siku kwasababu Mwigulu yupo sahihi hawezi chukuliwa hatua yoyote na jambo lenyewe...
  5. P

    Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    Hii kitu 50/50 imefanya ndoa nyingi sana za miaka ya hivi karibuni zisidumu,Hawa wenzetu wanashindwa kutofautisha wapi waitake hiyo 50/50,wao Kila sehemu wanataka haki sawa,kitu ambacho naturally hakiwezekani,na ni wanaume wachache sana wanaokubali kupokwa majukumu Yao na haki zao Kwa kisingizio...
  6. P

    Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Pole sana ndugu yangu, hata kama kwao hufahamiki naomba nenda kwao kawaeleze uhalisia huu wote wazazi wake na ndugu zake,na uwaambie dhamira Yako ilikuwa ni kumwoa binti Yao lkn Kwa yaliyokutokea ni ngumu kwako kuishi naye japo unampenda sana,kama wazazi wake ni wastaarabu na waelewa tayari hiyo...
  7. P

    Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Hapa unakosea,hayo makabila unayoyataja kama sio Watanzania Ndo yalikuwa mbele sana kuhakikisha nchi hii haitawaliwi na Wakoloni,Ili Watanganyika tujitawale wenyewe?ni kweli sisi Wangoni tulitokea huko Afrika kusini lkn ni vizazi vya 1800 huko,kuanzia miaka 1900 vizazi vyote vilishiriki mwanzo...
  8. P

    Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Bashe anastahili pongezi kubwa sana,Sasa hivi wakulima hawana neno lolote,kaupiga mwingi sana kwenye kilimo
  9. P

    Wanawake wanaotumia condom wanajiona wajanja sana

    Asikudanganye mtu kuwa asiyekusisitiza condom kwamba yeye hagawi,huyo anayekusisitiza kutumia condom anajali afya yake na pia anakwepa mimba zisizotarajiwa,lkn asiyesisitiza matumizi ya condom yeye kajikita kwenye kuepuka mimba tu habari ya magonjwa (STDs) haogopi,,,na ndio maana wasichana au...
  10. P

    Wanawake wanaotumia condom wanajiona wajanja sana

    Ni bora ukikutana na anayekulazimisha kutumia condom kuliko anayependa kuliwa kavukavu,jiulize kaliwa kavukavu na wangapi huko nyuma kabla yako?usalama Wa afya yake upoje?condom is the best answer
  11. P

    Natafuta mume

    Sasa kama hujawahi ifungua hiyo pm yako na umesema wakufuate pm,ulimaanisha nini?huoni kama unawakatisha tamaa wanaoweka nia kutokana na haya mabandiko?
  12. P

    Wakina dada ambao elimu ya mkoloni imepita chocho, kuweni makini na maneno ya marafiki zenu. Sio wote wanaowatakieni mazuri kwenye ndoa zenu

    Endelea kuwaelimisha wenzio,wote mngekuwa hivyo dunia ingekuwa sehemu yenye amani na utulivu sana,rabsharabsha zisingekuwepo
  13. P

    Rais Magufuli umedanganywa mengi kuhusu Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje, Undugu na Waziri Mkuu unampa jeuri na huambiwi ukweli na wasaidizi wako

    Ngoja niende Isongole,Itumba nikapate ukweli Wa hayo yote nami nije nitoe ushuhuda wangu yupi ni kero kwa wana Wana Ileje
Back
Top Bottom