Moto Umemuanzia Mwigulu Mapema Mno Bungeni!

Moto Umemuanzia Mwigulu Mapema Mno Bungeni!

Aise hii nzito, inamaana kila ucheleweshaji Rais anahusika moja kwa moja....Jamaa kachemsha mbaya!
Mimi nashangaa sijawahi kumsikia Msafiri akikemea ucheleweshaji hata siku moja!
 
Ajabu watu wetu wanaosimamia hizi taasisi ni dhaifu sana na wako dhaifu zaidi wakikutana na Wazungu,wahindi au Wachina...Wanawaelekeza kila kitu kama kondoo na wanafanya hata wizi mkubwa unaofanywa ni wazi Inferiority complex inawaumiza hawa watu
Na mara nyingi master minders na king Pins wa hizi upigaji huwa ni watu weupe,hususan wahindi na Hawa type za kina saalah wa Silent Oceans,Kina R'Os na wengineo.
 
Ajabu watu wetu wanaosimamia hizi taasisi ni dhaifu sana na wako dhaifu zaidi wakikutana na Wazungu,wahindi au Wachina...Wanawaelekeza kila kitu kama kondoo na wanafanya hata wizi mkubwa unaofanywa ni wazi Inferiority complex inawaumiza hawa watu
Inauma sana
 
Kwa kifupi Mh.Mwigulu yupo sahihi kutetea wizara yake kuwa ipo makini na salama,hata kugundua hii inflated invoice,kwa kifupi pesa ya serikali hailiwi kabla haijatoka wizara ya fedha, pesa ya serikali inaliwa ikishatoka wizara ya fedha kwenda kwenye serikali za mitaa au wizara au kwenye sekta wakati wa kutekeleza miradi ya maendeleo na matumizi mengine huko,so kwa kifupi monitoring ya fedha iwekezwe huko kwenye matumizi na siyo kwenye source MF. Pili tusimlaumu Mwigulu kuna malipo mengine yanaweza kuchelewa kwakuwa lazima yahakikiwe kwa ufasaha, ile wizara ni nyeti sana akikosea tu mlipaji akalipa hewa Waziri anawajibishwa fasta.so epicentre ya ufisadi ni huko kwenye matumizi na c wizara ya fedha.hongera Mh.Mwigulu kama hili la invoice ulitakiwa upongezwe c kudhihakiwa, unless kuna ajenda nyingine ama chuki tu
Wengi tinashabikia bila kujua utaratibu upoje,Mwigulu yupo sahihi kabisa,Sasa tunaacha kuungana naye Ili tumpate mwizi wetu sisi tunamkomalia yeye kama Ndo mwizi wetu,halafu wahusika wapo pembeni kimyaaaa!mwisho wa siku kwasababu Mwigulu yupo sahihi hawezi chukuliwa hatua yoyote na jambo lenyewe huishia hivyohivyo Kwa kelele tu,kumbe tungeungana naye Ili tuupate ukweli halisi uliopo Ili tutibu tatizo na sio Kwa mihemko kama ilivyo sasa
 
anataka kubebeshwa zigo la mavi wakati wote tunajua na kuona ni system corrupt... ndio maana tunashuhidia new episodes daily..

Wananchi wanapaswa kuchukua hatua sasa, hawa wapiga ramli hawawezi kuwa na msaada na taifa hili zaidi ya kupambania maslahi binafsi na familia zao.
Akiona system ni corrupt anatakiwa akatae uteuzi.
Mbona wapo ma DC waligomea uteuzi kwani hawaishi? Kuna wabunge sio mawaziri miaka kibao kwani wanakosa gani kwa Muumba?

Wamnyoe bila maji yeye pia ni corrupt hata walioandika kwenye mawe aliwalipa
 
MWIZI NI SAMIA SURUHU HASSN,MWIGULU NI MBUZI WA KAFALA TU,TOKA SAMIA AINGIE MADARAKANI,NI LINI AMEWAHI KUMWAJIBISHA MTU KWA UFISADI?,
 
Hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura nalo ni la kumtishia yoyote? Hapo wanafanya maigizo, kisha baadae wote wanaunga mkono hoja!
Ujinga ni mzigo,wizi wa kura unaliangamizaje taifa zaidi ya huu wizi na ufisadi wa rasilimali za nchi?
 
Ujinga ni mzigo,wizi wa kura unaliangamizaje taifa zaidi ya huu wizi na ufisadi wa rasilimali za nchi?

Walianza kuiba kura wakaona poa, sasa hivi wameona waibe hela maana hakuna lolote watafanywa. Wangekuwa wameingia bungeni kihalali wangekuwa na meno ya kuhoji wizi.
 
Kwanza rais sio mwenyenchi alafu pili kama rais huidhinisha kila malipo basi tukigundua malipo yoyote yahovyo manake rais ameidhinisha...
Mshahara wa Ester na wenzie kwanini rais anaidhinisha??
 
Back
Top Bottom