Recent content by Perus

  1. Perus

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

    Mmh. Hataree
  2. Perus

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

    Ngoja tujichange. Ushauri huu ni wakufanyia kazi.
  3. Perus

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

    Hii kweli kiboko. Dah
  4. Perus

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini? Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu. Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao...
  5. Perus

    JamiiForums Tanzania Makamba: Lowassa ni mroho wa madaraka

    Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini? Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu. Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao...
  6. Perus

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya september

    Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini? Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu. Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao...
  7. Perus

    JamiiForums Tanzania Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

    Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini? Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu. Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao...
  8. Perus

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

    Hivi hakuna mtu tunayeweza kuwasiliana nae pale
  9. Perus

    JamiiForums Tanzania Waalimu hamna sababu ya kulilia nyongeza ya mshahara, mshahara unawatosha

    Kaka waalimu wengi ni washabiki wa ccm. Wanalalmika tu, lakini ikifika wakati wa uchaguzi kura kwa chama chao.
  10. Perus

    JamiiForums Tanzania Waalimu hamna sababu ya kulilia nyongeza ya mshahara, mshahara unawatosha

    Kaka elewa hoja yangu. Wanasababisha maisha magumu kwa kuendelea kuitetea hii serikali ibaki madarakani, kila uchaguzi, umenielewa sasa?
  11. Perus

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

    Tatizo ni huu usumbufu wa kwenda Dar, gharama na n.k. Wakati haijulikani ni lini watalipa. Hivi hakuna mtu anayeweza kutusaidia?
  12. Perus

    JamiiForums Tanzania Waalimu hamna sababu ya kulilia nyongeza ya mshahara, mshahara unawatosha

    Kwa utu uzima wako unao Serikali inatenda sawa? Sisi kwa mfano kuna ndugu yetu anasumbuliwa kulipwa mafao yake, na hali yake ni mbaya sana kwasasa. Unafikiri nitaipenda Serikali yako ama mtu anayeishabikia kama wewe?
  13. Perus

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

    Wana utaratibu mbovu sana. Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu. Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao ndio wanakupa majibu ya hali ilivyo kwenye file la mtu wenu. Kwamba hazina haijapeleka makato, ila unaweza kuwasiliana...
  14. Perus

    JamiiForums Tanzania Waalimu hamna sababu ya kulilia nyongeza ya mshahara, mshahara unawatosha

    Na bado. Hawa si ndio watetezi wa Serikali hii? Hata mimi naona ni sawa tu wakilipwa namna hiyo. Wanatusababishia maisha magumu tu.
  15. Perus

Back
Top Bottom