Recent content by Perry

  1. Perry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu jamaa uoga wake wa mabomu umesababisha nimemchapia mkewe

    Umemla kwa style gani?
  2. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Si tunaambiwa hana shule, UN wanaenda vilaza?
  3. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Kwani yeye kaishia la ngapi?
  4. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
  5. Perry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kwa hiyo wananyoana kisha wanatombana au sijaelewa?
  6. Perry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kamfuma house gelo wake anampiga chabo mkewe akiwa anaoga

    House girl na mke wa jamaa ni mtu na mpenzi wake kama sio mtu na mkewe. Asante
  7. Perry

    JamiiForums Tanzania Sina imani na afya za wagombea urais wa ccm (Tanzania bara)

    Kwa mazingira waliyojiwekea,watashinda tu.
  8. Perry

    JamiiForums Tanzania Sina imani na afya za wagombea urais wa ccm (Tanzania bara)

    Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa. Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana. Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya...
  9. Perry

    JamiiForums Tanzania Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Vijana bwana,kwa hiyo halmashauri sio sehemu ya maana mkuu?
  10. Perry

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Ongeza na hizi 1.mwalimu bank 2.Airtel 3.Brac 4.Asa microfinance 5.Gpsa 6.cwt 7.chama cha wanasheria Tanganyika 8.ruwasa
  11. Perry

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    91% not selected, how? Walitaka watu wangapi?
  12. Perry

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

    Kwa nini mnakunywa pombe za bei rahisi?
  13. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi mnataka kuniambia hakuna mtu amewahi kufanya written ya admission officer ii utumishi humu jukwaani?

    Ingia chatgpt, kila kitu kimerahisushwa siku hizi
  14. Perry

    JamiiForums Tanzania Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Yani njaa zako ndo unataka watu wafanye kazi pasipokufuata utaratibu?
Back
Top Bottom