Recent content by periodontal

  1. P

    Sim card ndogo inapatikana bongo ?

    Mkuu wana kata ni laini ya kawaida tuu hata hiyo yako unayotumia sasa unaweza ukakata tuu .nenda kwenye ofisi za tigo au voda wanakata
  2. P

    Shuhudia maajabu ya Mungu, embe yakutwa ndani na maandishi "allah" kwa lugha ya kiarabu

    Rudi shule kwanza kajifunze kuandika ebo..! Una kurupuka tuu na ujinga wako!
  3. P

    Kenya kuipeleka Tanzania ICC, yadai kisiwa cha Pemba Zanzibar ni chake

    Nyerere Nyerere aah acha utumwa wa fikra wewe
  4. P

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtu mwembamba kama huyo sio rahisi kuwa na presha japo inaweza tokea
  5. P

    Kusumbuliwa na magoti

    Hayo magoti yanakusumbua vp mkuu fafanua yanauma au yana nini?
  6. P

    Amkata mke wake

    Amemkata nini mkuu?
  7. P

    Kuna umuhimu wowote kuwa na vipaza sauti misikitini?

    Si uhame hapo ? Kuna makanisa mengine usiku kucha wanaimba kwaya na mapambio na kulia ila adhana ya dk 2 ndio tatizo?
Back
Top Bottom