Mnashindwa kuelewa, Lissu alimpinga Magufuli kwa Yale ambayo Magufuli alikosea na si vinginevyo. Hii haihusiani kabisa na kukubaliana nae kwa yale aliyopatia
Agakhan ni hospital ya waislamu? Kivipi?
Usifananishe hospital inayomilikiwa na muislamu na hospital ya waislamu
Mfano mimi Joseph niwe na hospital huwezi sema ni hospital ya wakristo
Hospital tunaposema ni ya wakristo maana yake inamilikiwa na kanisa na sio mtu binafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.