Huduma za kibenki zinzofuata sheria za kiisilamu ni nzuri ndugu zangu watanzania maana sisi ni waisilamu na wengine ni wakiristo ambapo dini zote hizi mbili tulizonazo zinakataza kula riba riba ni haramu kwa waisilamu na wakiristo hivyo watanzania tuchangamkie hizo hata na benki ambazo bado...
Haya tena waisilamu banki zinazofuata taratibu na imani za kiisilamu ndio hizo zinajimwaga zenyewe tuchangamkieni fursa hio adhimu naomba pia bank nyengine zifuate hio
Benki ya Azania imejipanga kuanzisha dirisha la kutoa huduma (Islamic Window) kwa ajili ya kutoa huduma za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya Kiislamu, benki hiyo imetangaza.
Taarifa hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Benki ya Azania, Bernard Haule, wakati...
Makafiri hawatoaacha chuki zao mbele za Waisilamu wenye dini ya haki songa mbele Islamic Banking na lazima nchi tuisilimishe na hata wakinuna na wanune tu sisi yetu inayeya tena watautangaza uisilamu kwa gharama zao wenyewe sisi tunakula futari tu maana ni wao hao hao makafiri ndio wameanzisha...
Tena ikiwezekana hii amri uvuke maji mpaka tanganyika na viboko viendelee kuchwapwa mpaka watu wakimaliza mfungo wawe na nidhamu safi sana pemba (mwezi mtukufu hakuna masihara lazima mwenyezi mungu aheshimiwe unakula mwaka mzima kwa nini usiheshimu mwezi 1 tu ebo)
POLISI Mkoa wa Kusini Pemba, limewataka wananchi kuwa na utamaduni wa kuvumiliana kidini na kuheshimu imani za wengine, kwa kuepuka kula hadharani katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwani kufanya hivyo kunaweza kusababisha uvunjifu wa amani miongoni mwa jamii.
Jeshi hilo limesema...
kwani kuna ubaya gani kila mtu kugawana , mbona nyumba za ibada kila mtu ana yake misikiti kwa waisilamu na makanisa kwa wakiristo, hata kwa sasa tuna halal resturant na haram resturant hakuna shida , tuna mabenki ya kiisilamu na ya kikafiri mbona hilo halipigiwi kelele, nasema hivi hata hili a...
Siungi mkono hata kidogo kiachotakiwa ni kila mtu au familia uilazimishwa kulea wazee wake kwa nini tukawatelekeze kwenye majumba yasio na ndugu mbona sisi tulipokuwa wadogo walitulea bila kutupeleka kwenye majumba ya kulelea watoto iweje leo tuwafukuze kwenye majumba yetu nasema hivi kila mtu...
Kila mtu ana riziki yake ameletwa na mungu duniani ameshamuandalia mazingira ya kuja kuishi amemuekea maji misitu gesi madini na wanyama ili aje kuwatumia kinachotakiwa ni kutokuharibu mazingira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.