Is it a right time to establish home for the aged in Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it a right time to establish home for the aged in Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sombyo, Nov 19, 2010.

 1. s

  sombyo Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 19, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The amount of monthly pension that our pensioners are getting may not only be enough to meet their daily requirements but also the cultural changes in our sociaety whereby the wazee are left at their homes without any support needs to be considered. Let us discuss tusije lalamika hapo baadaye wakati hatuna uwezo

  I have more to share, but please let me have your comments on this topic kabla hatujalipeleka hili suala kwa wahusika
   
 2. M

  MdogoWenu Senior Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Naunga mkono wazo lako,

  Kuna wanaosukumwa kuingia kwenye ndoa bila kupenda kwa woga kwamba wakifika umri huo watakuwa na watoto wa kuwasaidia kipato.

  Sasa ukiwa na Aged Centre huna haja ya kuwa na wasiwasi huu. Unachapa kazi yako kwa bidii bila kubabaishana na mtu yaani mke, mume, watototo, kwani ukizeeka unahamia kwenye hii centre, kazi yako kusoma vitabu.

  Inaweza kuwa anayetaka kutunzwa hivyo a-contribute fund kama tunavyokatwa kwenye NSSF.


  Ni kujidanganya kudhani kuwa hali za wazee kukosana na kukamiana na watoto zipo, mke kukamiana na mume na hata kutengena ambako kutasababisha kutojaliana wakati wa uzee.

  Hali hizo zipo na hivyo faida za kuwepo chombo hicho ni pamoja na kutupilia mbali mashaka kama yake.

  Habari za kuwepo chombo hiki inaweza kuwa mbaya na hata kupingwa na wanajamii ambao wamezoea kuoata faida fulani ya kubabaisha wazee au kutishia mtu akizeeka itakuwaje.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2013
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ni elimu mpya sana kwa Watanzania na Waafrica kwa ujumla, lakini ni issue muhimu mno!
  Kwangu mimi naona its high time tukaanza kuwa na centres za aina hii!
   
 4. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2013
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siungi mkono hata kidogo kiachotakiwa ni kila mtu au familia uilazimishwa kulea wazee wake kwa nini tukawatelekeze kwenye majumba yasio na ndugu mbona sisi tulipokuwa wadogo walitulea bila kutupeleka kwenye majumba ya kulelea watoto iweje leo tuwafukuze kwenye majumba yetu nasema hivi kila mtu alee mzazi wake kama walivyokulea wewe ulipokuwa mdogo
   
Loading...