Recent content by Pendragon24

  1. Pendragon24

    Ndugu zangu Wakiristo mnathubutu vipi kuingia kanisani kufanya Ibada bila kutawadha, mnajua ni kinyume cha maandiko matakatifu?

    Wapumbavu hushika sheria za dini zao na maelekezo ya wanadamu na kuacha maagizo ya Mungu.
  2. Pendragon24

    HATUCHEZI HATUCHEZI HATUCHEZI OLE WAKO ENG. HERSI ALLY SAID NA WENZAKO

    Kufipisha kuna faida gani? Watu wavivu kusoma au? Mbona kwa mange Kimambi huwa wanasoma
  3. Pendragon24

    Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

    Hizi ni akili za KITUMWA mno hata wakina TIP TIP walifikiri hivi hivi kuhusu watanganyika wenzao wakashirikiana na explorers wakawafanya watumwa. Ashukuriwe Mwl Nyerere🙏
  4. Pendragon24

    Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Watu wengi wanazani Biblia iliandikwa kwa ajili yao. HAPANA Bali Biblia iliandikwa kwa ajili ya purpose nyingine kabisa na hata walio andika hawakujua kwamba itakuja kuhitwa maandiko matakatifu.
  5. Pendragon24

    HATUCHEZI HATUCHEZI HATUCHEZI OLE WAKO ENG. HERSI ALLY SAID NA WENZAKO

    USHAURI WA BURE KWA RAIS NA MAKAMU WA RAIS WA YANGA NA KAMATI YAO YA UTENDAJI NA MSIMAMO WA WAPENZI NA WANACHAMA WA YANGA Kutokana na ukubwa wa Timu yetu na mtandao mkubwa uliopo miongoni mwa wapenzi na wanachama wa YANGA kuna taarifa zisizo na mashaka ndani yake ya kwamba viongozi wa Yanga...
  6. Pendragon24

    Enyi wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA sikilizeni sauti za wananchi. Nendeni mkaandike historia mpya ya demokrasia

    Msithubutu kabisa kumchagua Freeman Aikael Mbowe kwani mtakuwa mmetangaza hadharani ushirika wenu na ccm kwa njia moja au nyingine. Freeman Aikael Mbowe anapaswa kupingwa kila mahali na watu wote wenye mapenzi mema na uhai wa demokrasia ya kweli nchini. Freeman Mbowe hata lugha zake tu zina...
  7. Pendragon24

    SI KWELI LGE2024 Nyumba 480 kata ya Mikocheni zimeingiziwa mfumo wa gesi

    Ameshindwa kujengaa vyoo tu pale stand ya Kawe ataweza la mabombaa....?? Mazingira ya stend ya Kawe ni machafu na hatarishi sana.
  8. Pendragon24

    Mitaa ya kwenu kimeshapita hiki Mdau?

    Kitambo sana kina chimbaa mpaka njia ambazo hazi husiki. :D :D
  9. Pendragon24

    Wenzangu mnaridhishwa na ujenzi wa barabara ya mwendokasi njia ya Posta-Mwenge-Ubungo-Tegeta?

    Mimi binafsi sioni kabisa kinachofanyika katika ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kwa phase hii ya njia ya tegeta posta na kipande cha ubungo tofauti kabisa na ujenzi wa njia ya Morogoro road au ilee ya gongolamboto. Enzi za ujenzi wa Morogoro road kwanza utaona watu wapo busy masaa 24 kufanya...
  10. Pendragon24

    DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Kupitia andiko hili na komenti za wana jukwaa nimejifunza vitu viwili. Moja watu wengi wanapitia ukatili na unyanyasaji wa aina tofauti katika maisha yao na saa nyingine wanakosa hata haki zao za msingi kabisa lakini mfumo umewafanya kuona hali hiyo ni sawa tu. Pili kupitia reply imedhihirika...
  11. Pendragon24

    LGE2024 Daftari la kuandikisha wapiga kura ni kweli yanapelekwa jiji?

    Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha. Nimekutana na hii habari huko mitandaoni ikisema daftari la lililotumika kuandikisha watu yamekusanywa na kupelekwa katika ofisi za jiji kinyume...
  12. Pendragon24

    Kila nyakati na majira yake! Thamani yako itakoma ukitoka kwenye cycle

    "Uchaguzi wa nchi hii ni kama mnada" ~Mzee Cheyo
  13. Pendragon24

    LGE2024 Malalamiko yanayoendelea kwenye zoezi la uandikishaji majina uchaguzi wa Serikali za Mitaa yanatisha

    Tangu kuzinduliwa kwa zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Kumekuwa na taarifa zikisema kuwa kuna wimbi kubwa la wanafunzi wa shule na watu wasiotimiza umri kuandikishwa katika daftari la wapiga kura. Naomba kujua kama ujumbe huo unaotumwa kwenye mitandao...
Back
Top Bottom