Mimi kuna ndoto inanisumbua ssna, huu n mwaka wa pili naota nikiwa naongea na baba yangu mdgo ambaye ni marehemu . kibaya umauti ulimpata kwa kunywa sumu. Na kila nikiwauliza wazazi wananiambia n hatar sana na s vizr.
Nini tafsiri yake maana naogpa sana.
Aise ,kwakweli hili limenigusa sana kuna jirani yangu kila siku anashindia kumchapa mwanae wa kike miaka 4 ,tatizo ni mwanae kuwa mwalimu kwa watoto wa jirani zetu wengne hapa kwetu. kanawafunza wenzake vitu visivyo kabsa kabsa.
Nilivo chunguza na baadhi ya majbu ya mtoto ni kwamba anasema...
Cha ajabu zaidi mwezi jana kuna mfanyabiashara kutoka kenya aliingia hadi porini kwetu akanunua gunia kwa bei ya Tsh. 25000/
Kitu ambacho n cha kushangaza sana hakijawah tokea
Dunia n tambala bovu...
Unaogopa kuvunjwa mguu sku ya maandamano kwan nan kasema maandamano hayo n vita? Kwann watanzania tunajengeka hv ? kwann tusiandamane tukisindkizwa na watu wa msalaba mwekundu, polisi pamoja na wengne watoa misaaada......
Iv huwez teleza kesho ukavunja mguu?
Kwanini...
Hii betting n kazi nzuri sana kwa baadhi ya siku.
Mm nakaa na baadhi ya vijana kila siku wananiomba niwafundishe hii kazi lakn nilisha wambia mara kadha subirin kwanza. Nafanya hiv ili niwasome akili zao kwanza kuna mmoja nilimwambia leo nimepigwa Tsh.10000/= akasikitika sana. Hii kaz inahitaj...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.