Recent content by Pendael6410

  1. Pendael6410

    Kafulila amnyang'anya soko la Madini MNEC Simiyu

    Ana uhuni gani chief?Tushirikishe,maana hapa Moro anafanya kazi nzuri mno,kama ni personal life kwangu sioni tabu yoyote....
  2. Pendael6410

    Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

    Medicine imekuwa ikitegemea Engineers( Bio,Electric,Structural,Hydraulics,Robotics etc) kwa kipindi kirefu na bado kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kazi za hawa mafundi na udaktari,na kila miaka inavyoenda utaona kwamba engineers wamekua ni chachu za inventions ambazo zimeleta mapinduzi ktk...
  3. Pendael6410

    Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

    Kama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so...
  4. Pendael6410

    Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

    Hizi Misoprostol zitamaliza watu duh....hiyo ni Incomplete Abortion.....na kinachofanya aendelee kubleed ni Retained Products of Conception(mabaki ya mimba)......na kwa hakika atableed hadi abaki mweupe na kuoza ndani taratibu hadi kufa kabisa kama hataenda hospital faster ili wafanye Manual...
  5. Pendael6410

    Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

    This one made my day.......what a bit......hahahah
  6. Pendael6410

    Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

    Yeye mwenyewe walimfanyia kitu mbaya hapo miaka hiyooo....so hasira zake akahamishia kwa Millenials....jamaa biti lake siji kulisahau....1st yr 2006
  7. Pendael6410

    Nani mkweli kati ya Zitto Kabwe vs Serikali sakata la trilioni 1.5?

    Sema ni nani mkweli kati ya CAG na Serikali.....Mh.Zito amechukua tu report ya Assad....na ni kazi yake kama mbunge mwenye akili timamu(ukiacha hao wengine waliojitoa ufahamu)..
  8. Pendael6410

    Kemikali za sumu hazokutumika Douma ,madaktari washangaa na kusikitika kwa uzushi huo

    Uzi haujadili Legitimacy ya mashambulizi ya US na wenzake....concentrate bro
  9. Pendael6410

    Kemikali za sumu hazokutumika Douma ,madaktari washangaa na kusikitika kwa uzushi huo

    Kemikali ya sumu inagunduliwa kwa kuhoji?stupidity hii.....wataalam wapo site now...wataleta majibu soon
  10. Pendael6410

    Walimu wamemtenga mwanangu na kutomfundisha hadi amefeli, naweza kuwachukulia hatua gani?

    Ila nadhani tukubaliane kwamba mwanao ana uwezo mdogo class.....enzi zetu tulikua watukutu hivyo,Afro zilikua hazinyolewi na class tunaonekana kwa manati....ukija bwenini watu wanapiga msuli wa mbwa mwizi....people were smokin Kush,drnkn alcohol ila matokeo ya exams yaliwanyamazisha midomo...
  11. Pendael6410

    Tukumbushane;unaijua TMO? unakumbuka nini kuhusu TMO wakati uko shule?

    Duh...mi ndiyo nazaliwa hiyo 84....well....mi nilimaliza pale 2006 advance....EMO/TMO sikuwahi kupata kwasababu nilisoma karibu na home elimu yangu yote ya sec....ila nakumbuka tu jinsi ilivyokua inatia heshima ukiona ubaoni mzee umetundikwa....ila kwa jinsi tulivyokua tunaishi kijamaa basi hela...
  12. Pendael6410

    Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

    Chloroquine bado zipo kwenye soko la Tz ingawa si kwa wingi...hutumiwa na watu wenye ugonjwa wa Seli Mundu(Sickle Cell Disease) kama kinga ya Malaria.....hii dawa ilinifanya niwe mshabiki wa sindano...ni mbaya kuliko chochote nilichowahi kuingiza kinywani.
  13. Pendael6410

    Wizara ya Elimu na TAMISEMI ovyo kabisa. Wakuu wa shule ndo wanaamua nani aende msingi nani abaki sekondari

    I will be more than happy to see my wife akipelekwa primary...hata yeye anatamani....watu hamjui fursa mnabaki kulia lia tu....
Back
Top Bottom