mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 325
"Nilikuwa na familia yangu nyumbani mita 300 kutoka hapa usiku ule lakini madaktari wote wanafahamu kilichotokea usiku ule .wanajeshi wa serikali walikuwepo na ndege za kivita zilikuwa usiku wote.lakini katika usiku ule kulikuwa na upepo mkali na wingu la vumbi lilokuwa likisambaa mpaka kwenye sehemu watu wanapoishi .Watu wakaanza kumiminika hapa wakisumbuliwa na hypoxia upungufu wa oxygen .kisha mtu aliyekuwa mlangoni ambaye ni white helmet (taasisi inayofadhiliwa na west) akaanza kupiga makelele Gas kisha panic ikaanza watu wakaanza kurushiana na kumwagiana maji.
"Ni kweli video ilirekodiwa hapa ni kweli kabisa lakini kilichotokea ni watu kuumwa na hypoxia na wala sio sababu ya gesi ya sumu,wale watu unaowaona kwenye video wakipata shida kuhema walikuwa na loss ya oxygen sababu walikuwa wanakaa kwenye handaki na ingekuwa ni sumu hata sie madaktari tungezurika lakini haikuwa sumu tulitoa matibabu bila ya hofu
.--Dr Assim(daktari mkuu hospitali ya Douma iliyopokea wagonjwa)
”****************************************
Mwandishi kutoka marekani Pearson sharp anasema amewahoji watu zaidi ya wakazi 30 wa eneo lile na hakuna dalili kemikali ya sumu ilitumika ,pia mwandishi kutoka The independent Richard Fisk anasema amewahoji watu zaidi ya 50 na hakuna alama yeyote tuhuma za kemikali za sumu zilitumika ,jamaa mmoja aliyehojiwa alisema alishanga kuna watu waliwafuata na kuwaambia sumu sumu kisha wakaanza kuwamwagia maji na kuwarekodi kisha wakatokomea kusikojulikana na wanahisi ni "hoax" au filamu iliyotengenezwa..waandishi kadhaa kutoka magharibi wameenda Douma kufanya uchunguzi na wanakuja na majibu hakuna silaha za sumu zilizotumika bali watu waliokuwa wanaishi kwenye mashimo na handaki waliishiwa oxygen sababu ya vumbi na upepo mkali
Tayari wachunguzi wa kimataifa wameenda Douma siku ya jumapili siku moja baada ya uingereza ufaransa na marekani kushambulia maeneo ya serikali kwa tuhuma walitumia kemikali za sumu kuua watu...lakini wataanza kufanya uchunguzi siku la leo jumatano licha ya kuwa hukumu ishatolewa kabla ya uchunguzi