Recent content by PENA UNITED

  1. P

    Mtu wa kubadilishana nae simu

    NINAYO IPHONE 3S,... Kama upo tayari niarifu,.. kwa sasa nipo Arusha,.. Dar nitakuwepo tarehe 25/2/2014 kuanzia saa nn usk kwani ntawasili na ndege ya usiku.Email yangu: dmc.arusha@gmail.com
  2. P

    Nataka kuacha kazi

    Usikate tamaa ndugu,mimi nilikuwa nalipwa mshahara wa take home 1.4m baada ya makato yote. lakini ktokana na kutokua huru pamoja na kufanya kazi muda wa ziada bila malipo ndipo nilipoamua kuchoma meli moto.kwa sasa nimejiajiri Napata zaidi ya nilichokua Napata,...nipo huru
  3. P

    Msaada: Kibali cha biashara - Arusha

    Hiyo lazima itakuwa ni bar ndo mara nyingi ukataliwa kwenye makazi ya watu,.. KAKA JONI sema ni biashara gani maana mimi nipo Arusha pIA,..
  4. P

    Unaweza ukaanza biashara bila mtaji..

    Hata ukijiunga forever lazima uwe na mtaji,... huyu jamaa sijui kama yupo vizuri ..,.. may be is an empty mind ''TABULARASA PERSON''
  5. P

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Kwa ushauri kama utaitaji kuandaliwa BP tafadhali wasiliana nami au ni PM gharama ni ndogo sana,..
  6. P

    credit officer at BARODA Bank

    Mamaaaaaaaa,.. Baroda kama wewe ni mwanaume basi umeingia LADIES TOILET also the opposite remain ceteris paribus,. yaani ,.. bakia huko huko,.. net salary ya credit officer ni 435,000/= after all deduction but itadepend wewe ni mhindi kama mimi au ni black,.. pole sana,..
  7. P

    Shukrani zangu kwenu

    hii ni kuidhalilisha elimu ya Tanzania otherwise degree zao cjui wamezipata chuo gani??? hili nalo ni la kujiuliza ,... anyway ya Mungu mengi,.. nawatakia kazi njema ,.. lakini wabadilike sasa,..,
  8. P

    Mademu wa Singida Haooooooo

    yaani payaani hamna kitu hapa , lakini biashara matangazo,..
  9. P

    Cementi ya jumla ya kuuza - msaada

    pozzolana wanaanzia mifuko 1000 unakuwa wakala unaletewa toka mbeya hadi Tazara.
Back
Top Bottom