wee zawadi mi naona unanichefua tu na hii barua yako, mi nahisi umetumwa na wenzio unashirikiana nao kuhihujumu nchi hii na huna uzalendo wowote. sio siri mwl. nyerere angekuwepo na kuona hii dhuluma mnayoiendeleza ccm nahisi angejuuta kuwa ccm. bora ukae kimya kama huna la maana la kutuambia...
Napenda sana Mtu asiye na UNAFIKI.
Kama wewe umeniibia Shati langu na ninajua kuwa umeniibia na wewe unajua kama umeniibia, sina haja ya kujigonga gonga kwako na kushikana na kukumbatiana wakati Moyoni najua umeniibia kitu changu. Huo ni Unafiki.
Kama nimechukia kwa kuwa umeniibia nitafanya...
jamani nauza nyumba yangu ambayo haijaisha imefika kwenye linta ipo Goba Mbezi juu.
unaweza kupita tangi bovu au njia panda ya makonde na ukafika.
nataka hela ya harakaharaka ili niende nje kusoma.
anayehitaji anipigie 755423192.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.