Nina sumsung smart TV ila nikitaka kuangalia movie kutoka kwa flash inasema unsupported msaada wenu wajuzi nifanye nini ili niweze kuona video kutoka kwenye flash kupitia USB port? Nyimbo za audio zilizopo kwenye flash zinacheza kama kawaida.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina tablet ya kichina inaitwa xcody tatizo nimeweka line ya halotel inakataa kushika network...kuhusu mtandao wa internet haina shida,naomba msaada wenu wajuzi humu nifanye nini?
sijasema popote kuwa ni kosa mtu kuongezewa damu labda kama una shida ya kuelewa au kwamba hairuhusiwi kitabibu sijasema hivyo.kwa taarifa yako hakuna damu salama tunasema damu salama kwasababu tumepima ukimwi na kukuta damu salama yaan haina ukimwi lakin kweny damu kuna zaidi ya...
Wewe una uwezo mdogo wa kufikiri sasa nijifiche kwa manufaa ya nani? Na nina muogopa nani? Ukiona unaaibika watu wakijua wewe ni dhehebu fulani ambalo wewe mwenyewe umelichagua wewe utakua na matatizo ya akili.
Sikujua kama hawa watu wanakataa blood transfusion basi wana akili sana mimi ni daktari tokea nipate elimu hii ya tiba sijawahi kukubali matibabu yanayohusisha blood wala sitaki watoto wangu wapitie namna hiyo ya matibabu.....kwa maoni yangu si ya kidini ni hatari sana kumtibu mtu kwa blood...
awa nitafanya hivyo nitaanza kuwachunguza ingawa kwa muda mfupi ambao nilikua nao pale mkwawa high school enzi hizo walikuwa wanaonyesha msingi wao mkuu ni biblia yaani hakuna swali utakalomuuliza yy akujibu kwa maneno tu bila kukuonyesha mstari wa biblia unaowafanya waamini hivyo pia ni watu...
Sio kweli kwamba wanasema watarithi nyumba za watu baba yangu alikua mchungaji na kila wakati alipokua akihubiri kanisani alikua akiwaponda sana hawa watu lakini siku moja tukiwa nyumbani nilimuuliza una ushahidi gani kuwa watu hawa kuwa ni wabaya kama unavyoaminisha watu? Akanijibu bila...
Ninachojua mimi ulimwengu wenyewe hauleti mabaya wala hautokezi mabaya wanaoleta mabaya na wanaotokeza mabaya ni walimwengu wenyewe yaan wanadamu..Mungu aliumba viumbe wake hasa binadamu na malaika wakiwa na uhuru wa kuchagua yaani kuishi maisha mema au mabaya inasikitisha malaika mmoja...
Hawa ni watu ninaofurahia sana kuishi nao ni watu wasikivu na ni majirani wazuri sana,nimepata bahati ya kusoma na baadhi yao na jambo la kushangaza ninapoishi sasa ni majirani zangu ni majirani wazuri sana ibada zao si za makelele na kulia lia kwa sauti kubwa ila ni watu thabiti sana kwa mambo...
Asante sana mkuu mm napenda san mtu anaefikiri kuliko mfia imani...wewe ni mtu anayefikiri,napenda sana biblia vile inaripoti mambo ambayo kwakweli inaonyesha wazi watu walioandika walikua watu wa kawaida kwa kisa hiki Marko anatuonyesha wazi aliemtukana Yesu alikua mmoja hasa ikiwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.