Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Naona ni dhehebu lenye changamoto sana ndani ya jamii inayowazunguka.
Usipowaelewa utapata shida kuishi nao.
Usipowaelewa utapata shida kuishi nao.
Jumba la Ufalme la Mashahidi wa Yehova.Mm huwa naona wamejenga majumba tu hata siwaelewagi
kwa hiyo mkuu kikwazo kwako ni fungu la 10?wapo poa sana kwakutaka kwangu kujifunza nilishiriki ibada zao ni ibada safi sana,hakuna mambo ya sadaka wala changizo la fungu la 10.
Hapana tatizo machangizo yamezidi,makanisa mengi Leo hii yanahubiri toa,toa,toa,toa.but jamaa wao hizo mambo hakuna.kwa hiyo mkuu kikwazo kwako ni fungu la 10?
Na kuna wale wa Siloam walishaniulia jirani kwa makatzao yao mtu alikufa kwa kukatazwa kufanyiwa operation...yaani kuna imani za ajabu hazijawai kutokea tangu UhuruSwala la kukataa blood transfusion mpaka leo siwaelewi
Ni hatari mkuu..Na kuna wale wa Siloam walishaniulia jirani kwa makatzao yao mtu alikufa kwa kukatazwa kufanyiwa operation...yaani kuna imani za ajabu hazijawai kutokea tangu Uhuru
Hizi imani nyingine misingi yake ina matatizo sana. Halafu utakuta wanajiita wakristo lakini wanachokiamini hakina msingi ktk ukristo.Ni hatari mkuu..
Tatizo la mashahidi wa yehova wao blood products kama FLESH plasma, WBC wanapokea lakini damu ikiwa yote hawakubari..
Tatizo linakuja kwa waumini walioko africa ambapo kupata products za damu peke yake inakuwa kazi sana
Hahaaaa hapo kwenye nyumba nzuri wanaposema itakuwa yao siku za mwisho ...wanafurahisha..Hizi imani nyingine misingi yake ina matatizo sana. Halafu utakuta wanajiita wakristo lakini wanachokiamini hakina msingi ktk ukristo.
Pia hao mashaidi wanaamini wao peke yao ndo watatawala hapo baadae kidogo. Hivyo anaweza kuona nyumba nzuri akasema hii itakuwa yangu baadae.
Halafu huwa siwaelewi sana yaani siku nyingine wanakwambia ukifa habari yako imeisha. Ila kulikuwa na msiba wa mwenzao wakasema fulani tutakutana naye mbinguni ?????
Wanaamini alisulubiwa ila si kwa kupigiliwa msalabani , msalaba wanao uamini ni ilikuwa nguzo tu ndo alitundikwa hapoNimeanza kusoma majarida ya Amkeni na Mnara wa Mlinzi toka nilipokua darasa la pili. Nlipokua form two nikawa na demu anayesali kwa hiyo imani akawa kila jumamosi ananiletea machapisho yao najisomea! Niliyapenda mno ila mwaka huu April nimeacha kusoma jarida la baada ya kukuta habari za kupotosha. Eti Mungu hato muhukumu mtu yoyote aliyetenda dhambi na asiyetenda dhambi wote tutakua sehemu moja pia eti tunapata dhambi kusema Mungu ataadhibu watu. Pia Yesu hakuwekwa msalabani.
Napenda sana vitabu vyao hasa Amkeni kinaelimisha sana. Tatizo lao ni misimamo sugu mathalani kutoongezewa damu na kuupinga wimbo Wa taifa.Jumba la Ufalme la Mashahidi wa Yehova.