Recent content by Pembani

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ishu ya kiutumishi

    Ndg gamlemilwe,je kuna uwezekano wa kurudi kituo cha awali kwa kigezo cha mshahara kuwa bado upo kule
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ishu ya kiutumishi

    Kwa wenye uelewa juu ya ishu ya kuhama mfanyakaz pasipo mshahara kuhamishwa baina ya halmashaur nje ya mkoa.Nini athari zake katika upatikanaji wa haki za kiutumishi katika halmashauri mpya na je kuna uwezekano wa kuweza kurudi ama kurudishwa kituo cha zamani kutokana na salary kuwa kule.msaada...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bollen Ngetti: Dk. Bashiru, Membe si size yako, kaa kimya

    Nondo za kutosha mkuu kazi kwao kumeza au kutema
  4. P

    JamiiForums Tanzania Makosa yafanywayo na wengi katika matumizi ya pesa

    Kwa namna flan ni bora kutilia maanani
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufunga tena duka langu moja la simu za Jumla Kariakoo

    Upatikanaji rizk awamu hii ni kwa mbinde sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nyanya ipi hybrid isiyo na bei gali lakini inafanya vizuri shambani?

    F1 hybrid 100 ata 135 bei zake angalau
Back
Top Bottom