You are wrong!
Hakuna kitu kama hicho cha miezi sita!
Nenda kasome barua iliyokuja na green card. Au nenda mitandaoni katafute hiyo stipulation.
Unakujaje kutoa lecture kuhusu ukazi wa USA na mambo ya green card wakati hujui restrictions za green card zikoje ???
Unasema una green card, green...
Out of state or out of United States ?
Jieleze vizuri wewe diaspora!
Hata sentensi moja tu iliyonyooka kuandika tabu, diaspora tatizo moja kubwa ni shule!
NANI kakwambia green card hairuhusu kukaa nje ya US zaidi ya miezi sita ?
Tatizo kubwa la diaspora wengi sijui niseme ni shule ndogo au vichwani wamevurugwa, mojawapo!
Nenda kasome barua iliyokuja na green card yako inasemaje, na kama huna nenda online!
Okay, posho zimeliwa Chato Ikulu ilipohamia kijijini mwezi mzima, hiyo inaifanya posho kuliwa Marekanu kuwa sawa?
Samia na yeye, the lightweight that she is, anawaza hivyo hivyo, alichokifanya Magu, hata cha ovyo, na yeye sawa kukifanya. Mtu wenu Samia hataweza kuwa bora kuliko JPM kama kipimo...
Umekazia, na mimi nakaza.
Nilikuwa kwa kinyozi akapiga miziki mikali nikadhani labda ipo Spotify, au Icloud au Amazon Music, au sijui XM Satellite. Nikamwambia nazipataje hizo ngoma Kiongozi ?
Akasema ziko kwenye flashi hapa hapa saluni. Hakuna mtu analipia ma iCLOUD na ma SPOTIFY viunga...
Hatutaki kupitia ICLOUD iliyopo Marekani tunapotaka ku access data zetu na kubadilishana hapa Makete. Tunatumia SD Card na flash zinazouzwa hapa stendi. That is for the vast majority of the minimalist masses of us.
Hatuna bundles za kuchezea, na hatuna minara kila tarafa, na hatuna broadband...
Feature ya app gani, youtube ?
Youtube kwenye android inaweza kuwaka wakati unafanya vitu vingine. Kwa hiyo, hiyo ya kufanya jambo moja kwa wakati sio feature ya app, bali ni feature ya Iphone! Feature ya hiyo A15 BIONIC
Processor kali kuliko zote duniani lakini ukiwasha kitu lazima uzime...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.