Recent content by pelezicr

  1. pelezicr

    Kuhusu kilimo Cha miti ya mbao

    Hii inategemea zaidi na aina ya miti husika. Mfano: 1. Misindano/Mipaina ni kuanzia miaka 10 ila kwenye 15 ndio inakuwa na faida nzuri. 2. Milingoti/Mikaratusi ni kwambo ni sawa na Mipaina ila kwa Mirunda ni kuanzia miaka 4 na miaka 8 kwa nguzo. 3. Mitiki ni kuanzia miaka 15 na 20 ndio utapata...
  2. pelezicr

    Unafikira kuanzisha kitalu cha MICHE YA MITI?

    Unafikiria kuanzisha kitalu cha MICHE YA MITI? •Hakikisha unatumia mbegu bora za miti. •Unaandaa kitalu katika eneo salama. •Udongo umechanganywa kwa uwiano sahihi. •Nguvu kazi yenye ujuzi na weredi. •Kuweka ulinzi kwa wanyama na wezi. Haya yote utayapata #MitiSmart kwa ghalama nafuu na ubora...
  3. pelezicr

    Fuatilia KONGAMANO LA MITIBIASHARA LIVE kupitia YouTube na Zoom

    Bofya hapa kuingia YouTube Pia kama unaweza kujiunga moja kwa moja kwenye majadiliano bofya hapa chini kujiunga na ZOOM Join our Cloud HD Video Meeting
  4. pelezicr

    Internship Opportunity- Commercial Forestry Service Providers at FDT

    Fulsa murua kwa vijana wajasiriamari, wanaoamini kwenye kujiajili katika Mitibiashara.
  5. pelezicr

    Ni ipi miti bora ya kilimo cha mbao?

    Kwa sasa unawezapata kwenye wilaya za Kilolo na Njombe.
  6. pelezicr

    Ni ipi miti bora ya kilimo cha mbao?

    Hivyo inarange kutoka 100,000 hadi 500,000 kwa shamba bila Miti idadi ya hekali zinazingatiwa zaidi. Pia bei inategemea na vitu vingi kama ubora wa ardhi, umbali toka barabarani na miundombinu ya ardhi yaani kama ni mlima mkali au tambalale.
  7. pelezicr

    Ghalama na mapato ya shamba la Miti.

    Pole sana. Ila kila biashara ina hasara hivyo lazima uwe umejiandaa kwa hali kama hiyo kisaikologia pia kuhakikisha unazuia isitokee na hata ikitokea uweze kuukabili. Wengi wetu huwa hutuzingatii uwekaji wa njia za moto kwenye mashamba ya Miti na pia kuwa na mahusiano mazuri na wenyeji. Sent...
  8. pelezicr

    Ghalama na mapato ya shamba la Miti.

    Kwa kawaida Miti huwa inapungunzwa hasa baada ya miaka mitano ili kuhakikisha miti inapata chakula na mwanga wa kutosha, ndio maana idadi inapungua. Yes, Kwa mahesabu haya ghalama ya uvunaji hapa ni ya mnunuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. pelezicr

    Ghalama na mapato ya shamba la Miti.

    Je! Umeshawahi kujiuliza ni kiasi gani cha ghalama utazitumia kuanzisha na mapato yake kwa shamba la Miti ya Mipaina/Milingoti. Hapa nimejaribu kufanya tafiti ndogo kwa mkulima mdogo na kupata hesabu hii kwenye jedwali. NB: Unaruhusiwa kuongeza au kuuliza. Karibu sana, Sent using Jamii...
  10. pelezicr

    Plywood kama fulsa mpya kwa wakulima wa Miti.

    Unaweza ukawa sahihi ingawa ukija kuangalia upande wa pili ni kwamba wanadamu wanahitaji malighafi pia hasa mbao. Na hapa duniani ni mti mmoja tu ambao unasifa nyingi zaidi za ukuaji wa haraka, kutoa mazao mengi na mti unaoweza kustahimili mazingira tofauti na mti huo ni Mkaratusi. Na kwa...
  11. pelezicr

    Plywood kama fulsa mpya kwa wakulima wa Miti.

    Ni kweli kabisa mdau, ila kwa hili la kusema miti ya Mikaratusi kuwa anahitaji maji mengi sana naomba nipingane nawe, kwa uzoefu wangu na tafiti zinaonyesha kuwa muhindi unaweza kuwa na uwiano mkubwa zaidi kuliko mti wa mkaratusi. Kwa nyongeza ni kwamba kuna aina zaidi ya 2000 za Mikaratusi...
  12. pelezicr

    Plywood kama fulsa mpya kwa wakulima wa Miti.

    Hope utaufahamu vizuri sasa. Ni mti unaostawi maeneo mengi ya hapa Tanzania.
  13. pelezicr

    Plywood kama fulsa mpya kwa wakulima wa Miti.

    Ni jambo la faraja sana kwa mkulima wa MITI kusikia kuwa miti ya mikaratusi/milingoti inahitajika kwa ajili ya kutengenezea plywood. Uhitaji wa mti wa mkaratusi ni mkubwa sana kwa sasa katika viwanda Gina kwa ajili ya kutengenezea plywood. Wilayani Mufindi/Mafinga tayari kuna viwanda...
  14. pelezicr

    Kwanini mashamba ya Miti hayana fulsa kwenye dhamana ya mkopo?

    Naomba msaada, Kama kuna mdau ameshawahi kupata mkopo kupitia dhamana ya shamba la miti anipe maelekezo ya vigezo vya kuzingatiwa. Asante.
  15. pelezicr

    Ni ipi miti bora ya kilimo cha mbao?

    Hongera sana na pole kwa mkasa uliokupata. Ila kwa ushauri wangu ni vyema kabla ya kupanda kuhakikisha ni aina gani ya Miti inaweza kustawi katika eneo husika ili kupunguza hasara zinazoweza kuzuirika. Pia sina hakika kama ulifuata taratibu zote za njia bora na na sahihi kwa upandaji wa...
Back
Top Bottom