Recent content by pebo da great

  1. P

    Jamani niende au nisiende? msaada....

    yani wewe mwenzio 2011 nlianza na take home ya laki tatu. Cha muhimu tafuta chumba kisizidi 50000 nunua godoro weka chini trust me life itaji adjust tu. Tena yani mimi ni kizazi cha dijitali lakini nina uwezo wa kufikiri huo mshahara ni mkubwa sana. Kama vpi ni pm nikuconsult maana life was...
  2. P

    Nafasi za kazi TRA

    nyati stop having a negatie mind am real positive ni kwamba hata kama wamepeleka vimemo nfasi yangu iko pale pale trust me and am gonna get this job.
  3. P

    Nafasi za kazi TRA

    mbona iki click inakwambia access denied?
  4. P

    Inteview ya Academic officer/ Examination Officer inakuwaje

    Wadau msaada kwa wale waliowahi kufanya interview za utumishi au wana idea maswali ya academic officer au examination officer yanakuwaje? Help please i real need this job kwa kweli
  5. P

    4 Major Interview Mistakes (and How to Recover)

    yani wewe ndo umenishangaza kwani ukipigiwa simu ya interview hausave number?au hiyo kapuni haina number ya simu call them nbona ishamkuta mme wangu akapiga reception then ujumbe ukapelekwa kwenye panel and now ana hiyo kazi its just the matter of confidence.
  6. P

    Nilijua nimeshatoka...

    pole mwaya nakuelewa sana tena sana
  7. P

    yeyote anayejua lugha ya mawasiliano katika interviews za utumishianihabarishe.

    wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite kunijuza. Asanteni sana
  8. P

    Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

    wipe your tears my dear one God has better plans for you.
  9. P

    Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

    plz nipo village nimeulizia nimeambiwa hilo gazet halifiki sana plz niwekeeni maana niliapply
  10. P

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    ndugu usiseme usilolijua spora is next level shows zake zipo juu na yuko appreciated world wide,you cannot compare her with joyce
  11. P

    Wema afanya shopping ya dollar 40,000

    yani hana jeuri ya kufanya shopping ya hela hizo yani hata dola 1000 kwenye account hana
  12. P

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    yani ulivyoeleza ni sawa tena sana but this person should google tena kwenye second thread ya google wametoa hadi mfano
  13. P

    nssf

    kwa NSSF mbona sio siri?
  14. P

    Bot vipi?

    my dear honestly walishaita watu kwenye interview ya written walikuwa watu 17 mtihani ulikuwa masaa 2 na nusu na sio siri this time kama ulipeleka kimemo unapigwa chini mapema tena all my friends wenye vimemo walipigwa chini but yule ambaye alikuwa hana ndo aliyeitwa but ali admit paper lilikuwa...
  15. P

    Natafuta kazi nina MSc ya Finance & Accounting from Mzumbe University...

    me i hate people who generalize and i real find it odd kuanza kumsema mtu without reasoning sasa unajua sababu za yeye kurudi shule? We kama hauwezi msaidia mtu si ukae kimya? Kuna umuhimu wa kuongea lolote?
Back
Top Bottom