Agrodealer
Senior Member
- Mar 19, 2011
- 107
- 13
Bado tusipoteze maana ya referees na references bado ni sawasawa kwamba employer anakwenda kutafuta uhakika kwamba umeandika ulichimba list ya mifereji abc ni kweli? Na hapa anaweza kua mtoa tenda uliyemfanyia kazi yake ama katika ile team ya monitoring and evaluation ya ule mradi wa kisima unamchukua mybe kiongoz wa team unamfanya reference and whatever.