Recent content by Pearl

  1. Pearl

    Jamani nipeni tafsiri hapa anakusudiwa nani?

    eeeeeeeeh hivi kumbe ckuweka expiring date? ilisha expire hiyo signature
  2. Pearl

    Jamani nipeni tafsiri hapa anakusudiwa nani?

    Nzuri Best heri ya Mwaka Mpya
  3. Pearl

    Wanawake tu; Jinsi ya kumgundua mmeo aliyengonoka nje ya ndoa

    Mmmmh hizi sasa ndo dalili za uchawi kidogo kidogo,tabu yooote ya nn kuigeuza K yangu upofu?niweke ndimu kwenye K mara K inapotea ntafanyaje?ushaambiwa ukimchunguza bata huto mla,kumchunguza kote huko ili iweje?akuuu Mume wangu nampenda haya mambo ya kuhisi yashindweeee kabisaaaa,kama anafanya...
  4. Pearl

    Asali wangu wa moyo

    jamani uncle ndo shangazi huyu?mbn cmjui jamani?
  5. Pearl

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    mm nilikuwa mmoja wa watu wenye tatizo hilo na sasa niko fit kabisa baada ya kupata tiba mbadala. kwanza anatakiwa kujua sababu hasa ni nini mpaka anakosa cku zake? inaweza kuwa ni unene, maybe aliwahi kuzaa baada ya hapo ikapotea toka alivyojifungua, pia hili si tatizo dogo kiukweli ni tatizo...
  6. Pearl

    shamba shamba shamba

    Shamba ni kubwa sana more than 50 acres ww sema unataka ngapi
  7. Pearl

    shamba shamba shamba

    Mmh sorry no idea
  8. Pearl

    Fire works ni dhambi tena anasa

    Ah ah ah uncle chelulute bana,njoo uniletee ile thawadi yangu basiiii
  9. Pearl

    shamba shamba shamba

    Limepimwa lkn offer bado jaitatoka
  10. Pearl

    shamba shamba shamba

    my dear soma maelezo juu, kiwangwa bagamoyo, if ur interested ni PM
  11. Pearl

    shamba shamba shamba

    Shamba linauzwa kwa bei cheee, wahi sasa mapemaaaaaaaaaa arthi ni mali, shamba liko kiwangwa bagamoyo, bei nafuu sana, millioni moja kwa acre, kwa maelezo zaidi ni pm.
  12. Pearl

    Fire works ni dhambi tena anasa

    Eeeeeeeeeeeeh uncle chelulute nakumisije sasa?
  13. Pearl

    Nimemisi tu EMUEMUYU

    ah ah ah babu karibu ckukuu bwana,nimekukumbuka sana nimekuwekea bata mzinga wako peke yakoooo
  14. Pearl

    Nimemisi tu EMUEMUYU

    jamani nipo nakumiss pia, asante kwa kunikumbuka, merry xmass and happy new year, karibu hme
  15. Pearl

    Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

    Money only impress lazy girls,when a woman works hard,a man with money is just a Bonus not a ladder!
Back
Top Bottom