Recent content by Peaceforever

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika

    Pamoja na kuwa na ofisi za UN agencies, tena nafikiri ikiwemo ya Mazingira na zingine zitaongezeka mwakani, hapo namna gani tena jameni! 😄
  2. P

    JamiiForums Tanzania “The birds will be flying high tomorrow”

    😎
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Mleta mada vizuri utafute wataalam wa uwekezaji ili wakushauri vizuri, kunaweza kuwa options nzuri zaidi!
  4. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

    Bado alikuwa na miaka 7 ya kula utumishi vizuri tu! Pole kwa wafiwa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Pole mleta mada, tafuta tajiri mmoja mwenzako aliyekutangulia kwenye utajiri, kila la kheri!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

    anaweza kushangaa pia ngoma isiende chini, ikaendelea kupaa. Historia ya 2019, siyo rahisi sana kujirudia kwa haraka, japo inawezekana pia!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

    Unaweza kuja kuzikumbuka zikifika over 2000
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mafao ya ustaafu wa Ndugai yaende kwa mjane yupi? Hizi ni kodi zetu, hatutaki kuwalipa mahawara au watu wasiostahili

    Pengine hata hao wafiwa hawana hata shida ya hizo mali! 😆
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ununue shares za DCB pale DSE (Dar es Salaam stock exchange)

    Nafikri wakati mwingine hawa foreigners ndiyo wanasaidia kwenye control ya mwenendo wa kampuni, kuliko kuwa nasi waswahili tu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ununue shares za DCB pale DSE (Dar es Salaam stock exchange)

    Nunua hisa kutosha kadiri zitakavyopatikana sokoni
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe

    Aliwahi kuwa chadema au nimechanganya majina?! 😄
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apigwa risasi na kufariki dunia Marekani

    Pole sana kwa wafiwa
  13. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

    Hiyo inaitwa kazi iendelee! 😄
Back
Top Bottom