Habari wana JF? Mara nyingi katika jamii tunayoishi mtu akipatwa na mikosi,misukosuko anaenda kwa Mganga wa kienyeji kusafisha nyota,,Nini maana ya kusafisha nyota? Mtu anayesafisha nyota anapata faida gani?Je kama ni kweli kusafisha nyota kunaondoa mikosi, Katika dini zetu ( KIISLAMU&KIKRISTO)...